Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri used JapanΒ na iwe portable maana spend simu kubwa SIPENDI SIMU FAKE ZA KICHINA nakaribisha ushauri
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Usafiri gani utaka kutumiaΒ
Β
Β
Β
Β
Shost kwema chukua hii iPhone X iko vizuri mno.
@ally-kanagawa Tayari form nimejaza.
Naomba itumike njia ya Ems.
Asante shost siku nyingine.
Β
Shost kwema chukua hii iPhone X iko vizuri mno.
Β
@erica Utafeli mtihani bila kusoma maelezo mteja kasema nataka simu originalΒ 🤣 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 🤣 😎 kwema lakini?
Ukweli usemwe niligiza simu yangu hii hapa ilipasuka kioo ilindondoka umbali mrefu ikaanguka kwenye talisi upande wa kioo yaani simu ililia nilijua kioo kwisha lakini kio kikakreki lakini simu inadunda hadileo kioo ni kigumu hatari.
Ukija kwenye chaji ilanakaa sana mim sizimagi data pia na washa hotspot muda wote lakini sitembei na chaja wa pawa bank simu za Japan ni original wala sio Siri ungekua mzigo wa kkoo hapa tungesha asau na matanga.
Β
OK
hii ni originalΒ
Nitakutimia fungua Thread ya hiki kioo.ΒNaomba unitafutie kioo huku hivi vioo vya huku kama karatasi sitaki.
Β
Β
Sawa
Tayari nimekutumia mzigo.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-waathirika-wakubwa-wa-simu-feki-wapo-mijini--2809448
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Fungu hiyo habari ya mwananchi.