Notifications
Clear all

Digxam [Sticky] Let's welcome our new members!

102 Posts
62 Users
63 Reactions
1,580 Views
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 
Ningependa kuwakaribisha wageni wote karibu sana!
 
  • Naomba kila mtu ajitabulishe  sio mbaya kila mtu akijotabulisha wageni na wenyeji.
  • Kama ungependa kupata malipo kwajili ya kushare website na page zetu baada ya kujisajili bonyeza hapa.
  • Tupe  maoni yako baada kujitambulisha.
  • Fungua Thread yako andika  jambo lolote kama biashara au maoni kisha post .
  •  Baada ya kupost thread yako share kwenye mitandao ya kijamii kulingana na idadi ya network uliyonayo kwenye kurasa zako zote,bonyeza vitufe vya kushare au copy link kisha past kwenye mitandao ya kijamii.

 


 
Posted : May 18, 2024 3:52 pm
Veronica Victor, Nancy, Lestuta Kabyemala and 6 people reacted
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 

Sisi wazamani tuna comment wapi?


 
Posted : May 18, 2024 3:56 pm
Veronica Victor, Hilda, Flora and 1 people reacted
(@zuhura)
Posts: 34
1k Pay Cash
 

@dura 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😆


 
Posted : May 18, 2024 3:59 pm
(@zuhura)
Posts: 34
1k Pay Cash
 

labda tuwakaribishe wageni i see.


 
Posted : May 18, 2024 4:00 pm
Hilda and Flora reacted
(@zuhura)
Posts: 34
1k Pay Cash
 

Let's welcome our new members!


 
Posted : May 18, 2024 4:01 pm

exp

Sabini
(@sabini)
Posts: 37
0.000 Pay Cash
 

Posted by: @zuhura

Let's welcome our new members!

Asante ungeweka hata kapicha kako ingependeza zaidi.

 


 
Posted : May 18, 2024 4:05 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 129
Moderator
 

Mimi naitwa Husain Ally Kanduru ni moderator wa zamu,nasema hivi  karibu sanaa nyote!  


 
Posted : May 18, 2024 4:10 pm
Hilda reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Mimi naitwa Kelvin Sospeter ni admin wa zamu,nasema karibu sana piga keleleeee!


 
Posted : May 18, 2024 4:14 pm
Hilda reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @moderator

Mimi naitwa Husain Ally Kanduru ni moderator wa zamu,nasema hivi  karibu sanaa nyote!  

Asante Moderator wetu waza! 

 


 
Posted : May 18, 2024 4:16 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @dura

Sisi wazamani tuna comment wapi?

Asante sana Dura pamoja sana.

 


 
Posted : May 18, 2024 4:18 pm

(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @zuhura

@dura 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😆

Asante nasa jamani Mungu awabariki.

 


 
Posted : May 18, 2024 4:19 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @sabini

Posted by: @zuhura

Let's welcome our new members!

Asante ungeweka hata kapicha kako ingependeza zaidi.

 

Asante sana mzee wa Ford Langer vipi umepa umefikia wapi?

 


 
Posted : May 18, 2024 4:21 pm
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

Mimimi naitwa Ally Kitogo aka Kanagawa,niko hapa Japan kitambo ukisikia sehemu inaitwa Kagawa mimi ni mwenyeji sana hapa.Ukitaka simu mpya mtumba nicheki nikupe mzigo wakunyooka.

 

asante ndugu zangu,najisikia kama niko Magomeni Kinondoni na Mwana nyamala.


 
Posted : May 18, 2024 4:27 pm
Hilda reacted
Erickson
(@erickson)
Posts: 20
25M Trade Bond
 

Kwajina naitwa Erickson Mshange,napatina Mlimani City  kwenye Magri ya used kama unataka Gari la mtumba au jipya naomba unitafute namba yangu ya simu ni 0672 846 180 karibuni sana.


 
Posted : May 18, 2024 4:34 pm
Hilda reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Sio lazima kutaja majina yako ya ukweli hapa.


 
Posted : May 18, 2024 4:39 pm
Hilda reacted

corretion

Shalom
(@shalom)
Posts: 50
1k Pay Cash
 

Posted by: @Anonymous

Sio lazima kutaja majina yako ya ukweli hapa.

Umeniwahi nilitaka kuliza hivyo.

 


 
Posted : May 18, 2024 4:40 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@shalom 😎 😎 😎 😎 😎 😎


 
Posted : May 18, 2024 4:42 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Hapa nikama kuchangamsha platform tu ,kuhusu uasalama kati ya muuzaji na mnunuzi ni kazi ya Digxam na watu wake tukiwepo sisi ambao ni admins moderators tunahakikisha kila mtu ndani  ya hii platform muda wote yuko salama bila kujali muuzaji au mnunuzi anatumia jina gani kwenye public,

Angalizo kila mtumiaji wa platform hii ni lazima kujaza hii form  bila kujali ni seller au buyer au mtoa huduma ,usipojaza hii formukitakiwa kutoa ushirikiano kwa jambo lolote kama umeagiza au mtoa huduma,admin   anaweza kuhitaji taarifa yoyote kutoka kwako nilazima admin awe na na taarifa zako ili kuondoa usimbufu unaweza kujitokeza pindi ampako utakuwa offline.

Kwa wale paid members wote wenye vifurushi mbalimbali kuwa makini jiepushe na makosa madogo madogo ambayo yanaweza kufanya unyanganywe kifurushi kako na kubaki bila membership.


 
Posted : May 18, 2024 4:58 pm
Hilda reacted
Shalom
(@shalom)
Posts: 50
1k Pay Cash
 

@admin Sawa


 
Posted : May 18, 2024 5:22 pm
 Rama
(@rama)
Posts: 32
0.000 Pay Cash
 

Safi sana.


 
Posted : May 18, 2024 5:26 pm
Hilda reacted

 Rama
(@rama)
Posts: 32
0.000 Pay Cash
 

Jina langu naitwa Rama ni mjasiriamali naishi Dar Temeke,nauza Play station za kila aina.


 
Posted : May 18, 2024 5:28 pm
Hilda reacted
 Rama
(@rama)
Posts: 32
0.000 Pay Cash
 

Kuna ubaya tukimjua mwanzilishi na miliki wa hii platform kupitia kwenye nafasi hii ya utambulisho? 


 
Posted : May 18, 2024 5:30 pm
Hilda reacted
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@rama Asante sana Rama,Karibu sana.


 
Posted : May 18, 2024 5:32 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Posted by: @rama

Kuna ubaya tukimjua mwanzilishi na miliki wa hii platform kupitia kwenye nafasi hii ya utambulisho? 

Siomba kumjua,

Hii platform ilinzashindwa na kusajiliwa Tanzania,South Africa,Japan na baadhi ya nchi nyingine,kuanzia mwaka 2020 ,inamilikiwa na bwa Emilian Makonda,amasoma shule ya msingi Mwenge shinyanga,Kazima Sec Tabara,Mzaliwa wa shinyanga Majengo mapya.

Kwawale mliosoma Mzumbe kati ya 2010 mnaweza kumjua ni mtu mwenye uzoefu sana na kazi za it,kwasasa yuko masomoni Japan,nadhani akipata nafasi najua unapitapitia mtandaoni anaweza kuja hapa na kutupa hi kidogo,najua uko busy lakini wadau watafurahi ukipita hapa nakutupa hi kidogo kupitia kwenye hii Thread.

 


 
Posted : May 18, 2024 5:43 pm
Rama reacted
 Rama
(@rama)
Posts: 32
0.000 Pay Cash
 

@admin Kumbe wabaongo tunaweza safi sanaa pamoja sana mkuu.


 
Posted : May 18, 2024 5:49 pm

(@majid)
Posts: 26
1K Trade Bond
 

Haloooo! Kumenoga sana 


 
Posted : May 18, 2024 6:28 pm
Hilda reacted
Kilimanjaro
(@kilimanjaro)
Posts: 36
100K Trade Bond
 

cc@kandwa@mareva


 
Posted : May 18, 2024 6:33 pm
Hilda reacted
Kilimanjaro
(@kilimanjaro)
Posts: 36
100K Trade Bond
 

Natwa Kilimanjaro mlima wapili kwaukubwa Dunia 😎 😎 😎 🤔 😀 😍 

 

Kama unataka kupanda mlima Kilimanjoro Niko hapa.


 
Posted : May 18, 2024 6:37 pm
Hilda reacted
Frank@2016
(@frank2016)
Posts: 5
0.000 Pay Cash
 
  1. Welcome


 
Posted : May 20, 2024 9:49 am
Hilda and Nana reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
0.000 Pay Cash
 

Karibuni wageni.


 
Posted : May 20, 2024 6:02 pm
Hilda and Innocent reacted

exp

Innocent
(@innocent)
Posts: 49
200K Trade Bond
 

Karibu wageni!


 
Posted : May 21, 2024 11:32 am
Hilda and Middle Man reacted
(@middle-man)
Posts: 15
10M Trade Bond
 

Karibu wageni wote tupo muda hapa muda kidogo,niwakumbushe kwamba hapa sio sehemu ya kupiga story kama na kudanganyana huu ni mtandao wa kibiashara sio kama kule tumezoe hapa nikaza  nakupa maokoto. 🤣 😆 🤣 😆 


 
Posted : May 21, 2024 11:40 am
Hilda and Chama reacted
Furaha
(@furaha)
Posts: 31
1k Pay Cash
 

Karibu sana!


 
Posted : May 21, 2024 11:48 am
Hilda reacted
Mzawa
(@mzawa)
Posts: 18
50K Pay Cash
 

cc @Kambunda-Mwigusi


 
Posted : May 21, 2024 11:50 am
Hilda reacted
(@chama)
Posts: 6
0.000 Pay Cash
 

Posted by: @middle-man

Karibu wageni wote tupo muda hapa muda kidogo,niwakumbushe kwamba hapa sio sehemu ya kupiga story kama na kudanganyana huu ni mtandao wa kibiashara sio kama kule tumezoe hapa nikaza  nakupa maokoto. 🤣 😆 🤣 😆 

Yes hakuna kulemba.

 


 
Posted : May 21, 2024 11:53 am

Omega
(@omega)
Posts: 45
40K Trade Bond
 

@furaha 😆 😆 😆 😆


 
Posted : May 21, 2024 11:59 am
Anamaria
(@anamaria)
Posts: 12
1k Pay Cash
 

Karibu.


 
Posted : May 21, 2024 12:03 pm
Hilda reacted
Epson Supply
(@epson-supply)
Posts: 13
1k Pay Cash
 

Karibu wageni.

Ukitaka Printer yoyote ya Epson ni tag nitakutumia popote ulipo as longer as una balance kwenye ewallet yako. 


 
Posted : May 21, 2024 12:08 pm
Hilda and Zaituni reacted
Zaituni
(@zaituni)
Posts: 21
1k Pay Cash
 

Karibu


 
Posted : May 21, 2024 12:12 pm
Hilda reacted
Mechanics Tips
(@mechanics-tips)
Posts: 27
300K Trade Bond
 

Hi!


 
Posted : May 21, 2024 12:16 pm

corretion

(@emakinombo)
Posts: 3
0.000 Pay Cash
 

@zaituni asante


 
Posted : May 21, 2024 1:58 pm
Zaituni
(@zaituni)
Posts: 21
1k Pay Cash
 

@emakinombo Asante sisi ndio Wananchi.


 
Posted : May 21, 2024 2:02 pm
(@kabandwa)
Posts: 43
30K Trade Bond
 

Hello


 
Posted : May 21, 2024 2:10 pm
(@kambunda-mwigusi)
Posts: 10
1k Pay Cash
 

SAWA KARIBU SANA.


 
Posted : May 21, 2024 3:19 pm
(@makoroboi)
Posts: 7
0.000 Pay Cash
 

Karibu sana.


 
Posted : May 21, 2024 3:23 pm

(@chamswell-trades-ltd)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Karibu sanaa!


 
Posted : May 21, 2024 3:40 pm
(@neema)
Posts: 32
20K PAY Cash
 

Karibu sana 


 
Posted : May 21, 2024 6:09 pm
(@msambya)
Posts: 16
1k Pay Cash
 

Karibuni 


 
Posted : May 21, 2024 6:58 pm
(@amoori-mahabudu)
Posts: 18
1k Pay Cash
 

Safii sana.


 
Posted : May 21, 2024 7:00 pm
 Nana
(@nana)
Posts: 15
0.000 Pay Cash
 

Karibu sana.


 
Posted : May 21, 2024 7:04 pm

 Abuu
(@abuu)
Posts: 9
10K Pay Cash
 

Tupo 


 
Posted : May 21, 2024 7:14 pm
(@dubai-used-parts)
Posts: 7
10M Trade Bond
 

Kama Gari lako liasumbua niko hapa kwajili yako.Tuko ilala shauli moyo.


 
Posted : May 21, 2024 7:18 pm
Rangi za Magari
(@rangi-za-magari)
Posts: 19
10K Pay Cash
 

Kama wewe ni fundi rangi za Magari karibu sana.


 
Posted : May 21, 2024 7:23 pm
 Dame
(@dame)
Posts: 8
1K Trade Bond
 

@rangi-za-magari  Ramgi ziko wapi?


 
Posted : May 22, 2024 5:46 am
(@ryosuke-nakai)
Posts: 6
100M Trade Bond
 

Welcome!


 
Posted : May 22, 2024 5:51 am

exp

(@ndalama)
Posts: 15
1k Pay Cash
 

Karibu sana.


 
Posted : May 22, 2024 5:53 am
(@alumando)
Posts: 14
1k Pay Cash
 

Karibuni wageni.


 
Posted : May 22, 2024 6:02 am
(@joantha)
Posts: 6
0.000 Pay Cash
 

karibu


 
Posted : May 22, 2024 6:06 am
Erickson
(@erickson)
Posts: 20
25M Trade Bond
 

Karibu sana.


 
Posted : May 22, 2024 6:42 am
Juma Sanka
(@juma-sanka)
Posts: 28
50K Pay Cash
 

Karibu


 
Posted : May 22, 2024 6:51 am

Jemima
(@jemima)
Posts: 29
1k Pay Cash
 

Karibu sana


 
Posted : May 22, 2024 6:54 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Welcome our new members!


 
Posted : May 22, 2024 6:59 am
(@marumo)
Posts: 18
1k Pay Cash
 

Karibu sana.


 
Posted : May 22, 2024 7:35 am
(@mhappacrithony97)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Asanteni tumekaribia 


 
Posted : May 22, 2024 2:40 pm
Kaganda reacted
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 50
100K Trade Bond
 

Karibuni sana.


 
Posted : May 22, 2024 3:12 pm
Hilda and Upendo reacted

corretion

Upendo
(@upendo)
Posts: 11
0.000 Pay Cash
 

@kaganda Asante.


 
Posted : May 22, 2024 8:07 pm
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 

sawa.


 
Posted : May 26, 2024 5:07 am
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
20K Trade Bond
 

Karibuni


 
Posted : May 26, 2024 8:01 am
(@kidali)
Posts: 16
1k Pay Cash
 

Karibuni


 
Posted : May 26, 2024 10:05 am
Geofy Muhagama A
(@geofy-muhagama-a)
Posts: 13
20K Trade Bond
 

Nikua nje ya mtandao,karibuni sana,


 
Posted : May 26, 2024 6:58 pm

(@maaonlinetv)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Hongera sana.


 
Posted : June 4, 2024 4:37 am
Upendo
(@upendo)
Posts: 11
0.000 Pay Cash
 

Karibu sana wageni.


 
Posted : June 4, 2024 4:44 am
(@mrbigdick113)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

👋 


 
Posted : June 4, 2024 4:56 am
(@mrbigdick113)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Hii ni platform ya kwetu wote tuitinze jamani,nimefurahi tumejikomboa.


 
Posted : June 4, 2024 4:58 am
(@mzukakibao)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Mimi Ngeni Jamani mpooo!


 
Posted : June 4, 2024 5:04 am

(@mzukakibao)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

🖐️


 
Posted : June 4, 2024 5:05 am
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Karibu sana wageni.


 
Posted : June 4, 2024 5:10 am
(@barakudaamos)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Asante tumemekaribia.


 
Posted : June 4, 2024 5:20 am
(@majid)
Posts: 26
1K Trade Bond
 

Sawa.


 
Posted : June 6, 2024 4:21 pm
(@kidali)
Posts: 16
1k Pay Cash
 

🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 🖐️ 


 
Posted : June 9, 2024 10:22 am

exp

Digxam
(@digxam)
Posts: 68
Admin
 

karibu


 
Posted : October 31, 2024 2:43 pm
(@jambomail)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Mimi ni ngeni jamani kama kuna mtu anajua jinsi ya kujiunga  naomba maelekezo


 
Posted : October 31, 2024 2:47 pm
(@flora)
Posts: 3
0.000 Pay Cash
 

@jambomail Kujiunga na nini?


 
Posted : October 31, 2024 2:59 pm
(@flora)
Posts: 3
0.000 Pay Cash
 

Hodi jamani mpo?


 
Posted : October 31, 2024 3:03 pm
Digxam reacted
Digxam
(@digxam)
Posts: 68
Admin
 

@flora Karibu sana.


 
Posted : October 31, 2024 3:39 pm

(@jaymi)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Pia ngeni


 
Posted : October 31, 2024 4:29 pm
(@manka)
Posts: 6
0.000 Pay Cash
 

Habari 


 
Posted : October 31, 2024 9:17 pm
 Asha
(@asha)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
 

Pia Mgeni hapa,


 
Posted : November 1, 2024 3:32 pm
Hilda reacted
(@hilda)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Pia mgeni.


 
Posted : November 1, 2024 3:53 pm
Hilda reacted
(@lestuta-kabyemala)
Posts: 1
0.000 Pay Cash
 

Mtukaribishe basi.


 
Posted : November 1, 2024 4:40 pm

corretion

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@zuhura Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:06 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@zuhura Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:06 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@frank2016 Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:07 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@nana Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:08 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@innocent Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:08 pm

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@middle-man Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:09 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@epson-supply Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:10 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@kaganda Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:11 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@ally-kanagawa Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:12 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

@lestuta-kabyemala Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:13 pm

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 187
Admin
 

Karibu sana kwaniaba ya Digxam.


 
Posted : November 1, 2024 5:15 pm
 Dudu
(@dudu)
Posts: 7
0.000 Pay Cash
 

Sante sana kwa huduma hii.


 
Posted : June 29, 2025 10:03 am