Notifications
Clear all

Used TZ Scania F310 bus zinauzwa

7 Posts
5 Users
2 Reactions
462 Views
2
Topic starter

Basi zinauzwa
Namba D
Injini_Scania F310
Gearbox_scania ya gia 6
Mbele Disc brake
Siti_52
Body_Gemilang malaysia
Usb charging ports zipo
Bei Tzsh 45,000,000/=
kwa kila moja
Matairi utanunua mwenyewe
zipo Dar
Call,sms,whatsap 0759399805

20240511 171542
20240511 171542
20240511 172746
20240511 172250
20240511 171727
20240511 171602
20240511 171830
20240511 172136
20240511 172635

 

Chama May 15, 2024 6:00 am

@kakondele Gari liko vizuri sana,mbona sio authorized Seller?

4 Answers
0

Hili Gari linashida gani?

kakondele Topic starter May 15, 2024 8:42 am

@dura matairi na kuseti mabuti

0

Ziko Dar sehemu gani?

kakondele Topic starter May 15, 2024 8:50 am

@juma-sanka zipo dar pugu njia ya kwenda kisarawe

0

Nakuunganisha na mteja mkuu ila usiniangushe 

0

Bado lipo?


Digxam

FREE
VIEW