Notifications
Clear all

REPAIR Geabox ya super Custom inatafutwa

8 Posts
3 Users
0 Reactions
954 Views
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
Topic starter
 

Toyota Towm hiace super Custom ya auto inatakiwa haraka sana.


 
Posted : March 2, 2024 3:41 pm
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
Topic starter
 

Habari ndugu

 

hii Geabox ya Automatic imeshindikana?


 
Posted : March 10, 2024 9:58 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 

Mzuri Geabox utapata kwa 1ml,body yake hii hapa.

6F416F11 CD68 4EFF 8754 0FFA8EAEA83B
8970B62B 6B9D 40E8 95E6 5D79574C5E8A
A9400D1A 6313 423D B4D6 27655B363AFE

 


Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : March 10, 2024 10:03 am
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
Topic starter
 

Naomba nilipie 80k bro 😎 hela ipo kwenye simu.


 
Posted : March 10, 2024 10:08 am
Moderator
(@moderator)
Posts: 135
Moderator
 

@meruly hapana sina uwezo wakupunguza bei mkuu mcheki admin.


Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : March 10, 2024 10:10 am

meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
Topic starter
 

Nimepata Geabox inafanyaka kazi vizuri sana.


 
Posted : April 21, 2024 3:58 am
meruly
(@meruly)
Posts: 35
70K
Topic starter
 

Control box ya hili Gari inapatika  kwa bei gani?


 
Posted : May 15, 2024 9:36 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
 

Itapatina naomba uanzishe Thread mpya achana na hii ya zamani


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : May 15, 2024 9:43 am