Notifications
Clear all

Digxam TUAMBIA CHANGAMOTO ZIPI AU KERO UMEKUTANA NAZO?

18 Posts
9 Users
10 Reactions
275 Views
1
Topic starter

Habari wateja wetu wapendwa.

Kunachangamoto zipi umekutananazo baada na kabla ya kutumia huduma zetu?

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 3:14 pm

@admin Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

9 Answers
2

Mimi nika ya wapenzi na wafatiliaji wa jukwaa la SouthAfrica kwasabu kuna vitu vingi nahitaji kutoka kule lakini kuna mtu moja pale kama Mungu mtu nilimwambia anitafutie vifaa vya Toyota Fortuna tangu last year kakataa kata kata hawa ndio wanarudisha nyuma hii platform ukiwaondoa mtapata wateja wengi.

admin admin Topic starter May 15, 2024 9:11 am

@mzawa Anatwa nani?

GP Logistics GP Logistics May 15, 2024 2:49 pm

Posted by: @mzawa

Mimi nika ya wapenzi na wafatiliaji wa jukwaa la SouthAfrica kwasabu kuna vitu vingi nahitaji kutoka kule lakini kuna mtu moja pale kama Mungu mtu nilimwambia anitafutie vifaa vya Toyota Fortuna tangu last year kakataa kata kata hawa ndio wanarudisha nyuma hii platform ukiwaondoa mtapata wateja wengi.

Sio kweli last year sikuwa member hapa Ebu acha mkuu kila siku natoa huduma hapa.

1

Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.

admin admin Topic starter May 15, 2024 8:17 am

Posted by: @dubai-used-parts

Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.

@jonson-john utusaidie kujibu swali hili mteja kauliza.

Jonson John Jonson John May 15, 2024 8:55 am

Posted by: @admin

Posted by: @dubai-used-parts

Jukwaa la Japan linaongoza changamoto nyingi pale, watu wanalinga sana ukiuliza kitu utajibiwa baada ya week moja na kilasiku wako online naomba tuanze na hapo Japan kwanza.

@jonson-john utusaidie kujibu swali hili mteja kauliza.

Kwanza naomba msamaha kwangu binafsi na kwaniaba ya sellers wengine kwenye hili jukwaa la Japan kwa kutokujibu wateja kwa muda.

Naomba mlalamikaji ange sema seller yupi ili @admin uweze kujua pakuanzia badala kutuhumu jukwaa zima ambalo lina sellers zaidi 10 sitaki kuamini kwamba wote hawa walichelewa kujibu ujumbe wako.

Pili kuna tatizo la wateja kutokujaza form zao ambazo uturahisisha  kuwasiliana nao nje ya Thread zao,baadhi wakiwaja wanaweka namba zisizo na whatspp hivyo panakuwa na ugumu kuwasiliana nao kwanjia za whatspp ili kupunguza gharama za mawasiliano.

hii form inapatikanahapa jaza vizuri kisha submit nitakutafuta haraka sana na kukuhudumia.

Pia Kuna seller wasiojua kiswahili lakini tukiwa na mawasiliano na wewe tutakutafuta kwanjia ya whatspp.

1

Napokea Email nyingi sana kutoka hapa kwenye hii website yenu yaani kila kitu kikipotiwa hapa napata naweza je kuzipunguza angalau ziwe chache jamani too much.

admin admin Topic starter May 15, 2024 8:31 am

Posted by: @furaha

Napokea Email nyingi sana kutoka hapa kwenye hii website yenu yaani kila kitu kikipotiwa hapa napata naweza je kuzipunguza angalau ziwe chache jamani too much.

Pole sana,ume Subscribe topics na Post zote ndio maana.

Fanya mambo yafuatayo.

1.Log in 

2.ingia kwenye my profile.

3.Bonyeza Subscribe 

4.Un Subscriber all Onda tiki pale.

5.Chagua jukwaa gani au topics gani unataka ku Subscriber Kisha weka tuki.

6.Kama hutaki notification acha wazi usitiki kitu chochote,baada ya kufanya hivyo tatizo lako tukakwisha kabisa.

1

Kwanini nikiweka Oder kwanjia ya whatspp sijibiwi nimefanya hivyo zaidi ya mala moja.

admin admin Topic starter May 15, 2024 8:37 am

Posted by: @furaha

Kwanini nikiweka Oder kwanjia ya whatspp sijibiwi nimefanya hivyo zaidi ya mala moja.

Swali lako la pili kuhusu whatspp kuweka oder na kutokujibibwa.

1.Kwenye kanuni zetu nikosa kutotokumjibu mteja, pole sana kwa usumbufu,nalifanyia kazi.naomba kujua namba hipi ulitumia ili nifatilie kwaukaribu sana.

2.Lakini kupokea oder kwanjia ya whatspp au kuoiga simu kanuni zetu zinakataza unatakiwa kupiga simu au kutuma ujumbe wa whatspp kwajili ya kupewa maelekezo jinsi ya kuweka oder zako.

3.Utaratibu wa kuweka oder ni kufungua Thread na kutoa maelezo ya nini unataka utajibiwa kupitia kwenye thread yako 

1

Nakazia hapo Africa Kusini kuna tatizo,niliukiza Grader hadi leo sijajibiwa.

GP Logistics GP Logistics May 15, 2024 2:52 pm

Posted by: @makoroboi

Nakazia hapo Africa Kusini kuna tatizo,niliukiza Grader hadi leo sijajibiwa.

Nilikumbia ulipie membership ya Trusted ukalalambele hadi leo.

Nadhani acheni kupotosha leta kero kama zipo zutatuliwe.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

1
Topic starter

Ikikupendeza unaweza kutusaidia majibu @GP-logistics  ya wateja wetu wawili hapo.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

1

Niliomba kutafutiwa spare za Gari langu hadi leo kimya.

@jonson-john 

Jonson John Jonson John May 15, 2024 3:10 pm

Posted by: @rama

Niliomba kutafutiwa spare za Gari langu hadi leo kimya.

@jonson-john 

Sikukataa Bali nilikuambia  ulipie membership ukagoma na uzi  wako huuhapa

1

Sikupewa Maelezo ya kutosha zaidi ya kukaa kimya.

0

@GP-logistics 

Digxam

FREE
VIEW