Notifications
Clear all

Needed to Congo Alpha Romeo 147 Engine Inatafutwa DRC

10 Posts
4 Users
0 Reactions
250 Views
0
Topic starter

Habari natafuta hii Engine nitapata niko Lubumbashi Wanatashi.

0

Habari mzuri. Karibu.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

0
Alfa
alfa2

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Jancrod Hafasha Topic starter April 7, 2024 8:43 am

Posted by: @jonson-john

-- attachment is not available --
-- attachment is not available --
Iko sawa mzee.

 

0

Hii Engine ni mzima,kuhusu bei najinsi ya kufika hapo Lumbumbashi sijui naomba labda @admin atusaidie.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0
Topic starter

SAWA.

0

Tunafanyaje?

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
Topic starter

Ni makumi ngapi hii?

admin admin April 11, 2024 4:58 am

@jancrod-hafasha  manunuzi usafiri hadi Dar utalipilia 2ml,kutoka Dar hadi Lubumbashi sijui gharama zake nafatilia.

0
Topic starter

Asente lakini Taqwa wametunza vibaya njiani wameumiza sehemu ya juu ikapasuka.


Digxam

FREE
VIEW