Naomba nitafutie body ya Mimi pajero JR Gari langu limeoza lote.
Bei gani boss hii body?
Asante sana body limefika.
Nitawatafuta tena kinihutaji kitu kingine