Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.
Hii huduma haitolewi kwa free members.Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@sahara Bidhaa zenye value zaidi ya 500k inakulazimu uwe paid member otherwise hakuna seller ataangaika kutafuta hilo Gari,kuwa paid member kunatusaidia kujua mtu ambaye yuko serious,upunguza kupoteza muda naΒ gharama za up and down kutafuta bidhaa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
ok
Unalipaje?

Poa hii pesa nyingi sana I see ngoja nijipange nikipiga mshindo nitakurudia.
Asante Karibu sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Vipi umepata Hilux?
BadoΒ
Unauzaje,ya mwaka gani?
Weka taarifa na bei?
Ungetuambia bajet yako pia.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Hii bei yake ni 129ml kila kitu hadi usajiliΒ
Kama uko serious lipia Unilimited membership nikuletee Gari hapo.