Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.
Hii huduma haitolewi kwa free members.Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@sahara Bidhaa zenye value zaidi ya 500k inakulazimu uwe paid member otherwise hakuna seller ataangaika kutafuta hilo Gari,kuwa paid member kunatusaidia kujua mtu ambaye yuko serious,upunguza kupoteza muda na gharama za up and down kutafuta bidhaa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
ok
Unalipaje?

@jonson-john Jinsi ya kulipia bonyeza hapa.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Poa hii pesa nyingi sana I see ngoja nijipange nikipiga mshindo nitakurudia.
Asante Karibu sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Vipi umepata Hilux?
Bado
Unauzaje,ya mwaka gani?
Weka taarifa na bei?
Ungetuambia bajet yako pia.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hii bei yake ni 129ml kila kitu hadi usajili
Kama uko serious lipia Unilimited membership nikuletee Gari hapo.
Hii bei gani mkuu mbona sijaona bei,hili Gari liko wapi?
Hii bei mkasi sana,naomba picha za ndani