Habari , natafuta generator used below 30KVA kwa matumizi ya Kituo cha mafuta , lisiwe na matumizi makubwa ya mafuta na liwe rahisi kufanyiwa service ,haya ya china nimenunua mara 3 yanasumbua sana kwasasa naomba mnitafuti Gereraor ambalo limetengezwa hapo Japan.
Mdau, mimi nina-import magenereta used toka japan in good condition yote ni super silent I have brands such as Honda, Komatsu, Denyo, Airman etc showroom yetu ipo Mwenge DSM opposite na kanisa la Kakobe. For further info call 07190777017
Kama upo serious ni pigie for Olympian Genset, service, sio tatizo kama utakuwa hapa Dar kila baada ya masaa 250 au miezi mitatu nitaarifu nije kupiga servuce, parts zipo pia.
😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 Picha yangu ya nini?
Kwawatu mliko Japan naomba majibu..
Hii huduma sio kwa free members,unaweza kulipia kifurushi cha Trusted Member kisha nitakuhudumia.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kinalipwaje?
Niungishe boss wangu