Notifications
Clear all

New SA Ford Everest 3.0d V6

49 Posts
6 Users
1 Reactions
1,589 Views
0
Topic starter
Natafuta
Ford Everest 3.0d V6  AWD Auto kutoka South Africa.
 
35 Answers
0

130ml bei ya manunuzu.

Zuhura Topic starter April 27, 2024 5:38 am

@gp-logistics unaweza kunitumia picha video more details?

GP Logistics GP Logistics April 27, 2024 5:43 am

Posted by: @zuhura

@gp-logistics unaweza kunitumia picha video more details?

Inabidi ulipie kifurushi cha unlimited nitakupa taafira zote kuhusu hili Gari? 

Zuhura Topic starter April 27, 2024 6:04 am

@gp-logistics Nalipaje hicho kifurushi nikishalipa mta refund au ita deduct kwenye price au ikoje?

GP Logistics GP Logistics April 27, 2024 6:11 am

@zuhura Hii ni non refundable ni membership ,kwa maelezo zaidi wasilina na @admin

0
Topic starter

sawa

0

Kama uko Tayari kulipia bonyeza hapa.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

0
Topic starter

Tayari nimelipia

0
image
image
image
image
image
  • Mileage 000 km
  • Drive Type4X4
  • Transmission Automatic
  • Fuel Diesel
  • Consumption 8.5 l/100km
  • Engine Cap 2993 cc
  • Registration Year: 2023
  • No of Seats: 7
  • No of Doors: 5
  • Body Type: Sports Utility Vehicle (SUV)
  • Variant:3.0d V6 Platinum AWD Auto
  • Fuel Tank Capacity:77 l
  • Cylinder Layout:V6
  • Kilowatts:184 kW
  • Drive: FR
  • Gears:10
  • Spare Key:Yes
  • Maintenance plan: 2030/02/17
  • Warranty:2030/01/17
  • VEHICLE FEATURES

  • Car Play or Android Auto
  • Reverse camera
  • Auto stop-start
  • Kuna Rangi nyeusi na Orange unapenda rangi gani?

Hii ni bei ya manunuzi 130ml hii bei ya manunu,kuna gharama zingine baada ya manunuzi.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Rangi nyeusi napenda pia ukipata video itakuwa vizuri zaidi,pia ghrama zote nimuhi sana.

Zuhura Topic starter April 28, 2024 3:19 pm

Posted by: @zuhura

Rangi nyeusi napenda pia ukipata video itakuwa vizuri zaidi,pia ghrama zote nimuhi sana.

Kuna option unaweza kulipia ushuru baada ya Gari kufika Boda au kutumia bond Gari likasafirishwa hadi  Dar kisha ukalipia ushuru baada ya kufika Dar. 

Zuhura Topic starter April 28, 2024 3:24 pm

Posted by: @zuhura

Rangi nyeusi napenda pia ukipata video itakuwa vizuri zaidi,pia ghrama zote nimuhi sana.

Sawa nikutumiamia.

0
Topic starter

Mambo ya ushuru pia nikipata hata makisio yake.

0
Topic starter

Pamoja na njia ya kulisafirisha kama ni barabara au baharini.

Zuhura Topic starter April 28, 2024 3:22 pm

Posted by: @zuhura

Pamoja na njia ya kulisafirisha kama ni barabara au baharini.

Barabara ni rahisi kuliko njia ya baharini.

0
Topic starter

Nimeona kama pic up staki pic up nanataka Gari lenye bodo ya kawaida.

Zuhura Topic starter April 28, 2024 3:21 pm

Posted by: @zuhura

Nimeona kama pic up staki pic up nanataka Gari lenye bodo ya kawaida.

Body Type: Sports Utility Vehicle (SUV)

0
Topic starter

Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp kuna baadhi ya vitu nitakutumia kwanjia ya simu.

Zuhura Topic starter April 28, 2024 3:31 pm

Posted by: @zuhura

Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp kuna baadhi ya vitu nitakutumia kwanjia ya simu.

Form ikowapi?

GP Logistics GP Logistics April 28, 2024 3:40 pm

@zuhura  bonyeza kwenye neno form itakupeleka kwenye from Jaza Kisha submit.

0
Topic starter

Tayari

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

Hii video ya pili Rangi nyeusi.

0
Topic starter

Sawa.

0
Topic starter

Naomba ingia whatspp 

0
IMG 20230903 WA0016
IMG 20230903 WA0015
0
Topic starter

Hizo documents kuziandaa  zinachukua muda gani?

0

Siku mbili tu.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

What is going on,GP Logistics.

Zuhura Topic starter May 6, 2024 7:25 am

Posted by: @zuhura

What is going on,GP Logistics.

Watu wako Botswana wameondoka saa tisa usiku huu ujumbe nikweli?.

0
Topic starter

Jiandae kuwapokea boda. nimeta ujumbe huu kwanjia ya whatspp 

GP Logistics GP Logistics May 6, 2024 7:44 am

Posted by: @zuhura

Jiandae kuwapokea boda. nimeta ujumbe huu kwanjia ya whatspp 

Nikweli nimekutumia mimi kesho watakuwa Zambia.

0
Topic starter

Sawa safari njema.

0
Topic starter

Habar za asubihi 

0

update zikoje.

0

nimekuwa interested wakuu na Ford South ni nanafuu sana eeh?

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Watakuwa wamefika wapi?

0

Habari mzuri,wako Zambia tayari  boda ya Kazungula hadi jana saa nne.

0

Kesho mapema watakuwa  boda Tunduma.

0

Tunduma 

0
IMG 20230903 WA0013
0

Discavery 4 bei gani.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Safi sana mko smart sana.

0

Nataka Prado ya mwaka huu. naipataje?

GP Logistics GP Logistics May 10, 2024 2:59 pm

Posted by: @kilimanjaro

Nataka Prado ya mwaka huu. naipataje?

Fungua thread mpya utape bei.

0

Mnatumia bodo zipi kupitisha Magari?

0
3E867423 3215 4263 855C C6B812DBF43A

Tunduma 

0

Kasumulu 

0
Topic starter

Habari nimetafuta menu ya hili Gari sijaiona nimepekua kila sehemu mnaweza kunitumia please.

GP Logistics GP Logistics May 15, 2024 7:50 am

Posted by: @zuhura

Habari nimetafuta menu ya hili Gari sijaiona nimepekua kila sehemu mnaweza kunitumia please.

Please Double check ziko mbili nika ya vitu ambavyo niliona kwa macho yangu i hope zipo zote. 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

Digxam

FREE
VIEW