Notifications
Clear all

Urgently Wanted SA Msaada Kununua na Bilstein shocks 4 kutoka South africa na kuja Tanzania

24 Posts
2 Users
0 Reactions
452 Views
0
Topic starter

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada

GP Logistics GP Logistics April 11, 2024 9:46 am

Posted by: @ubuntuscofield

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada

Ombilako lishashugulikiwa baada ya muda nfupi nakuapa majibu,please naomba muda kidogo.

0
EBB07C60 605E 41BE A581 4DDB2834BCD7
6F7A9213 C678 40BA BA99 3E52605C6C24

Hili Duka liko Johannesburg wanazo na bei ziko sawa na Duka la Pretoria vipi,una maoni gani?

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 11, 2024 1:01 pm

@gp-logistics goldwagen wana bei sawa kila duka ila pretoria duka linaitwa imcomex ndio wana bei nzuri ya rand 8000

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 11, 2024 7:49 pm

@gp-logistics

imcomex

  hii hapa

0
Topic starter
imcomex

 hii ndio ya imcomex

0

Sawa kesho nitaifanyia kazi nitakupa majibu.

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 12, 2024 6:19 pm
0

Habari 

0

BF2F2920 0C9E 4081 A04C CD5A8EA4D67D

Update 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

Nimepata invoice ya Rand 8,045.40.

kwajili ya items 5.

Shock-ups  4 

Oil Filter  1

unana maoni gani?

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 18, 2024 6:45 am

@gp-logistics Oil filter nahitaji 3, sikuweza pata invoice ya filter boss, so hopefully ukifika utajua, nilikuwa naomba kama itawezekana kuulizia kwa Honda dealership yoyote kama wanauza compliance bushing za control arm (sorry kwenye mtandao hawalist parts) model number 51396SWAE02 na 51395SWAE02

GP Logistics GP Logistics April 18, 2024 7:41 pm

@ubuntuscofield Ok sawa nakutumia zote.

GP Logistics GP Logistics April 20, 2024 9:23 am

Posted by: @ubuntuscofield

@gp-logistics Oil filter nahitaji 3, sikuweza pata invoice ya filter boss, so hopefully ukifika utajua, nilikuwa naomba kama itawezekana kuulizia kwa Honda dealership yoyote kama wanauza compliance bushing za control arm (sorry kwenye mtandao hawalist parts) model number 51396SWAE02 na 51395SWAE02

Naomba nikuulizie kwenye maduka ya Johanessburge.

0

Kwenye Duka la Pretoria hawana hii oil filter na Bush.

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 20, 2024 11:24 am

@gp-logistics Duka la Honda ama imcomex? na shock umepata mkuu?

GP Logistics GP Logistics April 20, 2024 2:05 pm

@ubuntuscofield Shock up invoice yake iko hapo juu kutoka imcomex, wao wana shock up tu, labda oil filter na Bush nikuchukulia sehemu tofauti na imcomex?

UBUNTUSCOFIELD Topic starter April 20, 2024 2:56 pm

@gp-logistics bush unaweza chukua kwenye service centre yoyote ya Honda. Lakini wawe honda genuine dealer au distributor wako sehem zote joburg hata pretoria maana nahitaji ziwe original made in Japan

image
image
GP Logistics GP Logistics May 2, 2024 1:52 pm

Posted by: @ubuntuscofield

@gp-logistics bush unaweza chukua kwenye service centre yoyote ya Honda. Lakini wawe honda genuine dealer au distributor wako sehem zote joburg hata pretoria maana nahitaji ziwe original made in Japan

image
image

Hii Bush nimekosa boss wangu,Oil Filter nimepata bei yake ni Rand 160.

0

Nangoja maelekezo kutoka kwako.

0
Topic starter

Okay nikitaka za mbele mbili tu maana budget imepigwa mtetemeko boss

GP Logistics GP Logistics June 4, 2024 7:32 am

@ubuntuscofield Sawa ngoja nalifanyia kazi nitakupa mrejesho.

UBUNTUSCOFIELD Topic starter June 10, 2024 4:18 am

@gp-logistics kimya boss

GP Logistics GP Logistics July 20, 2024 8:06 pm

@ubuntuscofield Nilikuwa nje kidogo ya mtandao pole sana.

Digxam

FREE
VIEW