Notifications
Clear all

Condition Ask Tuko Tabata Damp uliza chochote nitakujibu

6 Posts
3 Users
0 Reactions
552 Views
(@karanga)
Posts: 22
1k Pay Cash
Topic starter
 

Kama unataka chochote kutoka damp niko hapa kuliza ni 1,000 tu.

 

  1. Ukita vinu vya kusaga na kukoboa mahindi na mpunga
  2. ukitaka Vifaa vya hard ware 
  3. Uktaka makomeo
  4. Ukitaka bawaba 
  5. ukitaka kukunja mabati
  6. ukitaka ktengeza body za magari makubwa na madogo
  7. ukita ufundi wa magari makubwa
  8. ukitaka body za magari kila kitu niulize.

 
Posted : March 15, 2024 12:09 pm
Suzani
(@suzani)
Posts: 20
Honorable Member
 

Difu ya Scania 124 bei gani?


 
Posted : March 24, 2024 6:19 am
 Adam
(@adam)
Posts: 3
Honorable Member
 

Naomba mawasiliano


 
Posted : March 25, 2024 8:11 pm
(@karanga)
Posts: 22
1k Pay Cash
Topic starter
 

@suzani Nkupa bei.


 
Posted : April 16, 2024 9:32 am
(@karanga)
Posts: 22
1k Pay Cash
Topic starter
 

@adam Nimekutumia


 
Posted : April 16, 2024 9:32 am

Suzani
(@suzani)
Posts: 20
Honorable Member
 

@karanga ok


 
Posted : April 16, 2024 9:34 am