Notifications
Clear all

Urgently Wanted TZ NATAFUTA HIGER BUS

8 Posts
2 Users
0 Reactions
605 Views
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
Topic starter
 

Mwenye Higer bus zile za kichina amboyo imetumika lakini bado iko safi naomba tuwasiliane baje yake isizidi milioni 60 niko mikese Moro.

 

 

 
Posted : March 17, 2024 7:54 am
(@kakondele)
Posts: 10
Balance 0.000
 

nicheki kwa whatsap 0759399805 kama bado hujapata iyo higer

 
Posted : April 10, 2024 8:59 am
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
Topic starter
 

@kakondele Bado na hitaji mkuu

  • weka picha 
  • weka bei 
  • unapatikana wapi
  • Gari ni lako au wewe ni dalali
 
Posted : April 10, 2024 9:08 am
(@kakondele)
Posts: 10
Balance 0.000
 

naomba unitext whatsap kwa namba 0759399805

 
Posted : April 11, 2024 7:56 am
(@kakondele)
Posts: 10
Balance 0.000
 

nina zhongtong climber kama za new force naiuza zenyewe ni ngumu kuliko higer na bado ipo kwenye hali nzuri sana nilitaka unitumie meseji whatsap ili nikutumie picha

 
Posted : April 12, 2024 2:53 pm

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
Topic starter
 

@kakondele weka picha nilione.

 
Posted : April 12, 2024 3:12 pm
(@kakondele)
Posts: 10
Balance 0.000
 
IMG 20240123 WA0022
IMG 20240123 WA0022
IMG 20240123 WA0020
IMG 20240123 WA0018
IMG 20240123 WA0017
IMG 20240123 WA0019
+255 759 399 805 20240404 154702
 
Posted : April 14, 2024 5:34 am
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
Topic starter
 

Ok.

 
Posted : April 14, 2024 9:47 am


Digxam

FREE
VIEW