Notifications
Clear all

Urgently Wanted SA Msaada kununua shocks kutoka South Africa na Kuleta Tanzania

2 Posts
2 Users
0 Reactions
150 Views
0
Topic starter

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada

GP Logistics GP Logistics April 10, 2024 9:38 pm

Posted by: @ubuntuscofield

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada

Ombi lako linashughulikiwa,naomba kesho nikupe majibu kamili nini chakufanya namana ya  kuchuchua  vifaa vyako na kuvituma haraka sana iwezekanavyo,Asante sana kwakutumia huduma zetu.

Digxam

FREE
VIEW