Naomba bei ya hii earphone kama ilivyo STAX SRS-3170-SR 307
Nashida nayo.
800k hii bei ni pamoja na manunuzi na usafiri.
Inachukua muda gani kufikia huku na Malipo inakuaje nalipa baada ya kupata mzigo Sindio?
Mwezi moja hadi mitatu,malipo unalipia hela yote kabla ya kununua na kusafiri,
kama uko Tayari nakupa Lipa Namba au Bank account.
Ngoja nitakucheki sikumbili tatu hizi nilipia kwa lipa namba.
Ok
Lakini siumeielewa vizuri?
Ndio hii hapo mpya.
Naomba unitumie lipa namba I see muda wowote nitakutumia receipt ya malipo.
Hii hapa lipa yetu,ukituma tunza receipt muda wowote inaweza kuhitajika.
Nishalipia muda naomba kujua itachukua muda gani?.
Miezi mitatu.
Naomba ije kama ilivyo na accessories zake zote.