Habari ndugu zangu.natafuta compactor ya kutumia mkono kubwa size yskati naweza kuoitata Jess bei gani.
Yes utapataΒ Compactor boss,weka hata hella kidogo tuingie mtaani.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Hela ya nini mkuu fanya kazi huku hela ngumu sana Tafuta hii machine kwanza.
@frank-max Weka hata 50 mkuu siwezi kutafuta nikudanganye nitoka hapa nitafute high way nilipie pesa kisha ulalembele weka kidogo angala nijue uko serous unahitaji,au ngoja waje wenye nazo wakutumie picha na bei itakuwa rahisi kwako.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Kwamakisio zinaeweza kuwa bei gani?
Sijui nikipata bei nitakuambia.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ