Hapo kuna mashine za kushonea nguo mashine kali sana naomba mtuwekee hapa tuchague tunashida nazo sana ila zisiwe za bei kubwa sana kwasabu uwezo wetu ni ndogo sana.
Nashida na over lock ya Juki neye njia nne kwendelea kama zipo naomba niweke hapa.
I have more than 100pcs Juki and Brother you are welcome.
Hello!
what are you looking for?
Mashine hipi unataka ya JUKI wana mashine nyingi sana.Hapo kuna mashine za kushonea nguo mashine kali sana naomba mtuwekee hapa tuchague tunashida nazo sana ila zisiwe za bei kubwa sana kwasabu uwezo wetu ni ndogo sana.
Nashida na over lock ya Juki neye njia nne kwendelea kama zipo naomba niweke hapa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nitafutie OverLock ya Juki bei isizidi laki moja.
@zawadi-kabuka Sawa ngoja wauzaji waje,kama unaweza badilisha Tangazo lugha tumia kizungu kuna watu wanazo utapata hapa ziko nyingi sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nataka unitafutie wewe.
@zawadi-kabuka Hapana sina labda ikitokea kwenye mizunguko yangu basi nitaichukua nitakutumia kwanza uangalie.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Ok poa 🙏🏿🙏🏿