Habari nashida na Nissan Caravan kwajili ya kubebe wanafunzi wa shule,hili gari ni ndefu kama hiace naomba unitafutie na bei yake.
Hii ni ndefu ya Diesel
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿