Notifications
Clear all

[Sticky] BASIKELI ZA MTUMBA KWABEI YA JUMLA.

36 Posts
13 Users
19 Reactions
300 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Gidensha4
FB IMG 1709753932789
Gidesha3
jjk
image
image
image
image

.

Kwenye Container zinaingia baskeli pcs 800 tu.Hivyo kila mtu atuambia anataka pcs ngapi za baikeli ni mpakili.

  • Kuna Grade ya kwanza
  • Grade ya pili 
  • Grade ya mwisho

Tunachukua Order kuanzia  pcs 50 na kwendelea, 

  1. Utaratibu wa minada yetu uko hivi  kuna gharama za manunu zinajitegea 
  2. Kuna Gharama za usafiri 
  3. Kuna Ghama za ushuru 
  4. Kuna Gharama delivery kama uko nje ya Dar Es Salaam. 

Kabla ya kununua mzigo hakikisha unapata rate ya usafirisha ushuru na delivery ya  mzigo wako kutoka Japan kwenda Dar Es Salaam.

Tuna Baiskeli aina tatu 

  • Tuna Mayai 
  • Tuna Fimbo
  • Tuna Mountain 
  • tuna za Watoto  

Utakapo niuluza bei nitakupa bei ya manunu zitu yaani free on bod ikijitegemea tusichanganye.Garama ya usafiri kila baikeli mpja ni.

Grade A

  • Mountain ¥10,000
  • Mayai ¥8,000.
  • Fimbo   ¥7,000
  • Watoto ¥7,000

Grade B

  • Mountain ¥9,000
  • Mayai ¥7,000.
  • Fimbo   ¥6,000
  • Watoto ¥6,000

Grade C

  • Mountain ¥8,000
  • Mayai ¥6,000.
  • Fimbo   ¥5,000
  • Watoto ¥5,000

Usafiri

  • Mountain ¥2,000
  • Mayai ¥1,000.
  • Fimbo   ¥1,000
  • Watoto ¥700

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 6:02 am
 Meru
(@meru)
Posts: 14
Unlimited Member
 
Baiskeli za mtumba huko zinaendaje.

Posted : March 1, 2024 7:24 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
 
Bei ianendana na wingi unataka pcs nganpi na nainagani ya baiskeli.

Posted : March 2, 2024 12:28 pm
Hirano Motohiro
(@hirano-motohiro)
Posts: 26
Seller
 
We are one of the largest quality used Japanese bicycles exporters all over the world.
we enjoy exporting our product to africa, carrebia, east asia, Australia, arab golf, south america, europe. and etc..

The best place for quality Japanese used bicycles of all types,

CITY BICYCLES, FOLDING BICYCLES, BMX, KID CARRIER BICYCLES, RACING BICYCLES, ELECTRIC BICYCLES, TRICYCLES, BEACH CRUISER, COLORFUL KIDS BICYCLES, MOUNTAIN BICYCLES, CHILDREN MOUNTAIN BIKES, and many many more..

We currently deliver consignments withing 20 days, as we have many stocks available.
if you are interested to place an order, or have any other question please dont hesitate to contact us.
we are here to help you in your business needs.

Our priority is to make our customers smiles the whole times.
100% satisfaction guaranteed!! 

Posted : March 6, 2024 7:50 pm
 Dame
(@dame)
Posts: 8
Unlimited Member
 
Bei gani mnauza?

Posted : March 7, 2024 8:16 am

(@nyamwasa)
Posts: 3
Balance 0.000
 
How much one unit of Bicycle?

Posted : March 7, 2024 8:19 am
Twaha Fadhiri
(@twaha-fadhiri)
Posts: 26
DIG-PESA
 
Habari hivi naweza kununua basikeli kisha ukanipigia picha mojamoja ukanitumia nikatangaza kwenye platform za free memebrs zikiuzika ndio usafirishe moja kwa moja kwa wanunuzi?

Posted : April 7, 2024 7:50 am
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
DIG-PESA
 
Mkuu naombi kwanini usiuze kuanzia basikeli pcs 5 kuna watu tataka kuanza biashara lakini kidogo mtaji unasumbua naomba fanya hivyo hili jukwaa liko kibiashara zaid naamini maoni yangu mtayafanyia kazi.

Posted : April 7, 2024 8:00 am
Allan Madenge
(@allan-madenge)
Posts: 22
DIG-PESA
 
Mkuu nashinda moko tu.

Posted : April 7, 2024 8:01 am
Twaha Fadhiri
(@twaha-fadhiri)
Posts: 26
DIG-PESA
 
Nashinda basikeli mbili tu. lakini naweza kununua zikae hapo kisha nitakuza zikiwa hapo.

Posted : April 7, 2024 8:05 am

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @twaha-fadhiri

Habari hivi naweza kununua basikeli kisha ukanipigia picha mojamoja ukanitumia nikatangaza kwenye platform za free memebrs zikiuzika ndio usafirishe moja kwa moja kwa wanunuzi?

Inawezeka mkuu hakuna shida unataka Grade gani na size gani?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 8:08 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @allan-madenge

Mkuu naombi kwanini usiuze kuanzia basikeli pcs 5 kuna watu tataka kuanza biashara lakini kidogo mtaji unasumbua naomba fanya hivyo hili jukwaa liko kibiashara zaid naamini maoni yangu mtayafanyia kazi.

Sawa unataka zipi nitakuzia.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 8:09 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @allan-madenge

Mkuu nashinda moko tu.

Sawa tu ni wewe.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 8:10 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
@allan-madenge Niekubali ombi lako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 8:12 am
 Meru
(@meru)
Posts: 14
Unlimited Member
 
Kuna maboresho matatu napendekeza inabidi yafanyike ukifanya hivyo utauza sana baiseli kwabei zote rejareja na jumla.

Kwanza usiweke kiwango cha kuanzia kwasababu usafiri upo muda wote hapo wakuja huku.

  1. Napaswa pia uzitenge size na bei pia iendane na size.
  2. Bei ziko juu sana inabidi uziangalie upya.
  3. Gharama za ushuru ziwekwe wazi hapo.
  4. Gharama za ku Delivery mzigo kutoka Dar kwenda mikoani pia ziwekwe wazi. 
 
Posted : April 7, 2024 8:19 am

AGIZA SIMU ORIGINAL KUTOKA JAPAN,KUANZIA 50,000 TU .

(@daniel-matthew)
Posts: 35
DIG-PESA
 
Nitarudi badae nashida na baiskeli za watoto.

Posted : April 7, 2024 8:25 am
(@kambunda-mwigusi)
Posts: 10
Unlimited Member
 
Sawa langu ni kwanini unataka kuu bei ya jumla?

Posted : April 7, 2024 8:48 am
(@neema)
Posts: 32
DIG-PESA
 
Watoto wangu mapacha miaka 7 nitapata

Posted : April 7, 2024 8:59 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
@meru Mbona kama ni manne sio matatu?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:02 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @meru

Kuna maboresho matatu napendekeza inabidi yafanyike ukifanya hivyo utauza sana baiseli kwabei zote rejareja na jumla.

Kwanza usiweke kiwango cha kuanzia kwasababu usafiri upo muda wote hapo wakuja huku.

  1. Napaswa pia uzitenge size na bei pia iendane na size.
  2. Bei ziko juu sana inabidi uziangalie upya.
  3. Gharama za ushuru ziwekwe wazi hapo.
  4. Gharama za ku Delivery mzigo kutoka Dar kwenda mikoani pia ziwekwe wazi. 

Gharama za Delivery 5,000 Tsh miko yote. Ushuru pia ni %18 ya Gharama zote.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:04 am

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
@daniel-matthew Karibu sana.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:04 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @kambunda-mwigusi

Sawa langu ni kwanini unataka kuu bei ya jumla?

Sio lazima kuuza bei ya jumla ila hili jukwaa ni kwajili ya bidhaa kwa bei ya mjula mbona limeandikwa balk hapo juu tukitaka rejareja inabidi tutafute jukwaa lingine.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:07 am
(@tusiime)
Posts: 10
Balance 0.000
 
Naomba namba ya simu mkuu nikupe mchongo.

Posted : April 7, 2024 9:09 am
(@tusiime)
Posts: 10
Balance 0.000
 
Nawanafunzi shule nzima tunaweza fanya kazi i see.

Posted : April 7, 2024 9:11 am
zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
 
Nikitaka Container zima unaweza kuzituma Unganda?

Posted : April 7, 2024 9:13 am

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @tusiime

Naomba namba ya simu mkuu nikupe mchongo.

+81 8020 7174 21

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:16 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
@tusiime Karibu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:17 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Posted by: @zawadi-kabuka

Nikitaka Container zima unaweza kuzituma Unganda?

Bila tatizo leta kazi.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 7, 2024 9:18 am
(@tusiime)
Posts: 10
Balance 0.000
 
Asante!

Posted : April 7, 2024 9:21 am
 Dame
(@dame)
Posts: 8
Unlimited Member
 
IMG 20171217 WA0025
 
Posted : May 19, 2024 10:55 am

 Dame
(@dame)
Posts: 8
Unlimited Member
 
IMG 20171217 WA0026
 
Posted : May 19, 2024 10:56 am
 Dame
(@dame)
Posts: 8
Unlimited Member
 
Baikeli zenu mzuri tatizo mzigo unachelewa kiweka vizuri mzigo ukafika haraka mtafanya kazi sana.

Posted : May 19, 2024 10:57 am
(@nyamwasa)
Posts: 3
Balance 0.000
 
@dame  Kumbe nilitaka kuagiza sikujibiwa ulifanyaje?

Posted : May 19, 2024 11:00 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
IMG 20171217 WA0028

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 19, 2024 11:04 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 488
Seller
Topic starter
 
Kama uko seriously unataka baiskeli jaza hii form ukimaliza kuja hii form bonyeza hapa kuangalia taarifa zako kama ziko sawa,kisha weka oder yako.

Baada ya kufanya hivyo hata ukiwa offline utapigiwa simu yako ya mkononi au whatspp.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 19, 2024 11:09 am

Hirano Motohiro
(@hirano-motohiro)
Posts: 26
Seller
 
@dame Thank you!

Posted : May 19, 2024 11:13 am