Notifications
Clear all

Toyota Hilux inatakiwa

21 Posts
5 Users
0 Reactions
466 Views
0
Topic starter

Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.

Jonson John Jonson John April 6, 2024 9:01 am

Posted by: @sahara

Nahitaji Toyota Hilux pickup moja mzuri.

Hii huduma haitolewi kwa free members.

 

Sahara Topic starter April 6, 2024 9:04 am

@jonson-john Kwanini?

Jonson John Jonson John April 6, 2024 9:20 am

@sahara Bidhaa zenye value zaidi ya 500k inakulazimu uwe paid member otherwise hakuna seller ataangaika kutafuta hilo Gari,kuwa paid member kunatusaidia kujua mtu ambaye yuko serious,upunguza kupoteza muda na  gharama za up and down kutafuta bidhaa.

12 Answers
0
Topic starter

ok

0
Topic starter

Unalipaje?

Jonson John Jonson John April 6, 2024 9:53 am
Moderator Moderator April 6, 2024 10:00 am

@jonson-john Jinsi ya kulipia bonyeza hapa.

0
Topic starter

Poa hii pesa nyingi sana I see ngoja nijipange nikipiga mshindo nitakurudia.

0

Asante Karibu sana.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Vipi umepata Hilux?

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
IMG 20240501 WA0006
Sahara Topic starter May 2, 2024 5:22 am

@nguma Hii ya kwako?

Sahara Topic starter May 2, 2024 5:54 am

Posted by: @nguma

-- attachment is not available --
Hii bei gani mkuu mbona sijaona bei,hili Gari liko wapi?

 

0
Topic starter

Bado 

0
Topic starter

Unauzaje,ya mwaka gani?

0
Topic starter

Weka taarifa na bei?

0

Ungetuambia bajet yako pia.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Hii bei yake ni 129ml kila kitu hadi usajili 

Sahara Topic starter May 2, 2024 5:56 am

Posted by: @gp-logistics

-- attachment is not available --

Hii bei yake ni 129ml kila kitu hadi usajili 

Hii bei mkasi sana,naomba picha za ndani

 

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Kama uko serious lipia Unilimited membership nikuletee Gari hapo.

Sahara Topic starter May 2, 2024 5:57 am

@gp-logistics Hii iko juu sana.


Digxam

FREE
VIEW