Notifications
Clear all

ONLINE AUCTION [Solved] FEN ZA MAGARI TOFAUTI

35 Posts
13 Users
71 Reactions
751 Views
3
Topic starter
20230121 075941

Hili zaga la fen za Magari mbalimbalimbali zote mzima zinafanya kazi.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 3:29 pm

@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

Lulu Edward October 27, 2024 7:27 pm

@jonson-john Nado zipo?

23 Answers
3
Topic starter

Nipe offa yako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

3

ziko pcs ngapi?

3

Pai idadi ni muhimu.

3

Naomba idadi ni muhimu sana,

3
Topic starter

Ziko PCS 100.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

3

100x10,000 nalipia leo boss wangu.

Jonson John Jonson John Topic starter April 5, 2024 9:31 am

Posted by: @greene

100x10,000 nalipia leo boss wangu.

Hutaki ushindani boss wangu?

3

50x20,000 1ml  nalipia leo.

Jonson John Jonson John Topic starter April 5, 2024 9:31 am

Posted by: @middle-man

50x20,000 1ml  nalipia leo.

Ziko pcs 100

3

Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?

Dubai Used Parts April 5, 2024 9:26 am

Posted by: @middle-parts

Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?

Kama watafanya hivyo nitawaunga mkono pia nitawashawishi wafanya biashara wengi tujiunge na mpangoo tuwe tunanunua spare moja kwa moja Japan.

Jonson John Jonson John Topic starter April 5, 2024 9:35 am

Posted by: @middle-parts

Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?

Asante kwa ushauri wako mzuri,nadhan admin ataufanyia kazi.Kunasiku nilimshauri kuhusu wateja kuingia kwenye platform bila kuwazuia kungia badala ya kuweka mipaka nimwambia afunge kila mtu afike hataka hajalipia. 

3

Nitakuwa mteja wenu kama mtafanya hivyo.

Dubai Used Parts April 5, 2024 9:24 am

@middle-parts Kweli kabisa.

3

Mkuu pole na majuku ya kazi ebwana siwasikilize hawa watu wa ilala wanadeka sana i see kilakitu wanataka wasikilize wanataka wapewekipaumbele utafikiri wao vitu gani sijui,acheni ushamba nyie nunue bidhaa au kanunue mnokonunuaga acha kukera watu.

hawa ukiwasikiza utaniambia tunza hii coment hawa lengo lao nikupanga matoke ya bei na hodhi mchakato mzima wa biashaa za online kuwa kama za physically wanaleta ujuaji wakilakitu na kutanguliza uilalaila achane ushamba hapa tuanenda sawa mikoa yote. 

Sunday April 5, 2024 9:52 am

Posted by: @tokyo-used-parts

Umeona eeh hawa watatatumbua huko mbeleni wanataka kuleta utemi kila sehemu hadi mtandaoni.

3

100x25,000@1

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

3

30 ipo mkuu.

3

35 natoa.

Jonson John Jonson John Topic starter April 5, 2024 10:55 am

Posted by: @tokyo-used-parts

35 natoa.

Ukitaka kushiriki kwenye online auctions kama hii inabidi ulipie kifurushi cha unlimited bila hicho kifurushi uwezi kufanya biashara yoyote hapa.

3
Topic starter

Huu mnada wa Fan naufunga leo kwa saa sita usiku  kwa saa za Africa Mashariki kama unahitaji Fan njoo leta ofa yako kabla ya saa sita.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Middle Man April 8, 2024 4:07 pm

Posted by: @jonson-john

Huu mnada wa Fan naufunga leo kwa saa sita usiku  kwa saa za Africa Mashariki kama unahitaji Fan njoo leta ofa yako kabla ya saa sita.

Njoo private  tuyajenge.

Jonson John Jonson John Topic starter April 9, 2024 8:40 pm

@middle-man Niko kwenye Room nimekutumia mwaliko tanguja lakini sikuoni.

3

Kwani Taratibu zikoje mkuu.

Jonson John Jonson John Topic starter April 6, 2024 8:35 pm

Posted by: @middle-man

Kwani Taratibu zikoje mkuu.

Free members hapa mkuu,mnaturusha nyuma please naomba watu wenye membership tu,wewe hapo huna cha kupoteza unapanda bei kisha utaingia mitini.

3

mzigo uko vizuri sana.

3

Hii bei ni pamoja na usafiri na ushuru sio?

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

3

Usiku mwema.

3

Umetiki ✅

3

Asante sana.

3

Huu mzigo bado upo?

3

Mzigo vipi umeondoka?

2

Natoa 50@moja.

Digxam

FREE
VIEW