60,000
¥70,000
¥80,000
¥90,000
¥100,000
¥120,000
¥120,000
Nilijua tu huu mzigo lazima ushushwe chini haloooo!
Wakishua sio mapigo yao haya,niliuchungulia nikasema hawa leo wamejichanganya siwaulete huku,
¥130,000
¥140,000
@barbershop Niliuchungulia nikaona uko kwenye miiba nikatembea zangu leo wametumia hekima kweli yaani.
¥150,000
Kuanzani mwezi ujao hakuna vyabure hapa kula mtu lazima atoe 30,000 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
¥160,000
Nimeona duh ila admin kazingua sana i sii mapema mno.Kuanzani mwezi ujao hakuna vyabure hapa kula mtu lazima atoe 30,000 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
¥160,000
@majid Siokweli mimi admin na mtetea sana ujue nini Majid last week ni bid simu hapa bajet yangu ilkuwa 170k jamaa waipandisha hadi 300k imafika muda wa kulipa kilamtu kalala mbele ikibidi jamaa afute ule mnada.
Nijamba ambalo limenikuta last week kwaiyo nilijua watabadilisha policy ujue hapa kila mtu sio mununuzi wengine wahereshaji sasa hawa ndio wanatolewa wabaki watu seriaous kwangu naunga mkono hoja.
hawa jamaa wanajaribu kutengeza mfumo mzuri ili tupate vitu kwa bei rahisi lakini watu wanavuruga sasa ukitoa 30k ukizingua inachukuliwa unabaki mweupe minada utachungulia safi sana.
¥170,000
@marumo Utakuwa chawa wa admin kiukweli kazingua sana tena sio kidogo nimechukua na nitahama nitahamia mindao mingine!
@dalali-mziefu-kariakoo Wabongo tubadilike hivi wewe na umri wako tangu huko hapo kkoo unashindwa kulewa kinachondelea hapa kuwa sio mnada bali nichezo kama ya watoto wado?
Angalia majukwaa mengine huku watu wako serious na biashara mtu kama hana pesa anapi kwenye mnada anaangalia naondoka lakini hapa kwavile ni bure basi kila mtu anaona raha kubid mwisho wa picha unapoteza muda watu ambao wako serious
jambo lapili hii 30,000 naona ndogo kwasabu watu wanalalamika lakini wanashindwa kulewa kuwa sio lazima kuingia kwenye minada bado unaweza kutumia majukwaa mengine tofauti na minada na maisha yako yakasonga kwanini ulieli achana na minada.
¥80,000
Kuweni makini sana pia kanunu za kuuza na kununua kupita kwenye jukwaa hili.
Huu mzigo pia umepakiwa,utatumiwa kukmbukumbu namba kwanjia ya private.