Notifications
Clear all

Education TANGAZO LA ADVENTIST PRE AND PRIMARY SCHOOL

1 Posts
2 Users
0 Reactions
172 Views
0
Topic starter

Nishule yacinaendeshwa kwa misingi ya Kanisa la Waadventist Wasabato ulimwenguni.Ni kituo pekee,kinachotambua na kufungua uwezo wa mwanafunzi.

 

Tuna wafanyakazi wenye uwezo,weledi na maarifa ya hali ya juu.Tunatumia kusidi la Mingu kuandaa kizazi kilicho bora kiroho na kimwili.Wanafunzi wetu wanajifunza na kugundua naarifa tofauti tofauti.

Tuna nafasi kwenye madarasa ya awali  I II III V na V na VI Ada zetu ni nafuu sana.

 

Awali TSh 720,000 

Msingi Tsh 870,000

Tuna Usafiri wa uhakika.

 

Wasiliana nasi 0684 205340/0713 634277 au 0624 172831 Wote mnakaribishwa.

1 Answer
0

Interested 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


Digxam

FREE
VIEW