Niingie moja kwamoja kwema oder yang,natafuta mashine ya kuchonga Shatf za Engine nataka nifungue Engineering kwajili ya huduma ya kuchonga shaft za Engine.
Ombi lako linashughulikiwa nikikamilisha nitumia asante,
Itachukua muda gani?
Umelenga vizuri mkuu,kunasiku nilipeleka kuchonga shaft nilimbiwa hela nyingi sana.
Sawa nipe namba ya Lipa kama mnayo.
Hii hapa lipa kwa Simu,unaweza kutumia lipa Kisha Tunza receipt