Notifications
Clear all

Used TZ SUBARU FORESTER

2 Posts
3 Users
0 Reactions
261 Views
0
Topic starter

kaka kuna mtu mwenye hili Gari naomba tuwasilie haraka sana natafutata SUBARU FORESTER.
Year model 2008 kwendelea 
Engine Cc isizidi 1990
Low mileage isizidi 100k
Tyre angalao zisiwe zimechoka sanaa  

 

Mawasiliana Piga au wahtspp  xxxxxxxxxx.

1 Answer
0

Ipo mkuu inatakiwa 18ml

Moderator Moderator April 1, 2024 7:51 pm

Posted by: @sus

Ipo mkuu inatakiwa 18ml

Weka picha.

 


Digxam

FREE
VIEW