Notifications
Clear all

Fish Market TUNAUZA Dagaa wa Ziwa Victory kwa bei ya Jumla

5 Posts
3 Users
1 Reactions
309 Views
1
Topic starter

Nauza Dagaa wakavu na wabichi kutoka Ziwa victory kuanzia kg 100

 

natuma mikoa yote hadi watu wa DRC Lumbushi kite natuma tuwasiliane.

5 Answers
0
Topic starter

Hata wabichi wapo

0

Nashida na Dagaa wasio na mchanga tunafanyaje niko Lubumbashi.

0
Topic starter

Dagaa wapo wengi sana tunaanzia kg 100 ,Lubumbashi ni wapi nikutumie bei ya manunuzi na usafiri.

0
Topic starter
BIASHARA YA CHAKULA HAIJAWAHI KUTUPA MTU AKIVUMILIA.
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.

Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.

Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)
Hiyo bei ni dagaa wenye ubora (good quality).

Dagaa wachanga.
Gunia yenye debe 10--kilo 43--(Tsh 130000/= Tsh200000/=).

Bei zinabadilika kutokana na hali ya uvuvi inaweza kupungua zaidi ya hiyo bei au ikaongezeka vizuri kuwasiliana kwa simu ××××××××××.

Jinsi ya mzigo utakufikia. Bus (gari ya abiria), Lorry(gari ya mzigo)

Gari ya abiria (bus) mzigo unakufikia haraka ila bei zao ni za juu kidogo. Gunia moja (Tsh20000/=) mpaka mkoani.

Gari ya mzigo (lorry) mzigo inachukua muda kidogo lakini ndani ya siku 2 mzigo unakuwa umekufikia bei yake ni ndogo ukilinganisha na bus.(tsh10000/=-tsh15000/=).

Location: Napatikana Mwanza-Kirumba-Mwaloni-Soko Kuu la dagaa na samaki.

Mawasiliano: ××××××××××

Karibu.

Endapo unataka kujuwa zaidi uliza kwenye comments au piga simu.

0

Bila picha ni umbea.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 


Digxam

FREE
VIEW