Notifications
Clear all

Urgently Wanted TZ Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

1 Posts
2 Users
0 Reactions
245 Views
0
Topic starter

Naomba mwenye uzoefu na aina pamoja na bei za machine za kusaga na kukoboa mahindi anisaidie.natanguliza shukrani

1 Answer
0

Kama bado niambie nikuunganishe na jamaa wanaotengeneza hizi vinu za kusaga na kukoboa.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


Digxam

FREE
VIEW