Notifications
Clear all

PATA OFFA! Tunauza mikanda ya gypsum

1 Posts
2 Users
0 Reactions
281 Views
0
Topic starter

Habari wajasiriamali tunawakaribisha ofisini kwetu kujipatia huduma zetu pia tunatuma mzigo popote ulipo kwa nchi za Africa mashariki tunakuhumia.

Pata huduma zetu mikanda ya Gypsum kwa bei ya 1500 kwa pisi, pata maua na Engle za Gypsum kwa bei mzuri pia Pata vifaa vya kutengenezea mikanda ya Gypsum kwa wale wanaotaka kujiari kwa pisi moja ya mold ya mkanda bei 250,000 na mold za maua ya kati bei maelewano kulingana na size.

1 Answer
0

Habarai mkuu,weka picha tuonaone zikoje.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ


Digxam

FREE
VIEW