March 5, 2024 11:52 am
Topic starter
Nina kampuni valid ya ujenzi, natafuta mtu mwenye vifaa kama grader. Kazi si tatizo, mimi ni mhandisi niko kwenye hii field.
Call xxxxxxxxxx for more information.
Mkuu kwema mashine zipo za kutosha vipi uko mkoa gani mbona namba yako siioni bosi tuyanjenge?
Vipi umepata?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ