March 25, 2024 8:29 pm
Topic starter
Mwenye mashine ndogo ya kukata nyasi naomba tuwasiliena niko Dar.
Hapa Japan zipo bei yake laki 800,000 tu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿