Habari natafuta battere za mtumba pcs 100Β
Β
kuanza size
1.N 45.
2.N50
3.N 70
Β
naomba kujua bei kwa Gharama zote hadi kunifikia itakuwa bei gani!Β
Kuunganishwa na huduma hii inabidi ulipie kifurushi cha elfu 30 kwa mwaka.
Kivipi nielimishe hii 30 ya nini?
Kupata bei ya bidhaa zenye dhamani ya kuanziaΒ 1,000 hadi 300,000 nilazima udiposit elfu 30 kwenye account.
Ok sawa nalipaje?
Jinsi ya kulipiaΒ
TigoΒ Lipa nambaΒ 6866794 Digxam Trades.
1.Jina la bank CRDBΒ
2.Acount Namba :ACΒ 015C598771300.Β
3.Jina la Account Digxam Trades.
Hii kwajili ya nini?
Utapa kwa bei zifitazoHabari natafuta battere za mtumba pcs 100Β
Β
kuanza size
1.N 45.
2.N50
3.N 70
Β
naomba kujua bei kwa Gharama zote hadi kunifikia itakuwa bei gani!Β
1.N 45.Β 50,000@1
2.N50Β 90,000@1
3.N 70 100,000@1Β
Β
Β
Β
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Inachukua muda gani kufika hapa.
Inategea tunatumia usafiri wa Container inategeme muda wa mzigo kujaa kama litajaa mapema hesabu mwezi moja na week moja baada ya mzigo kuondoka hapa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Loud cries isn't always appropriate
Mzigo wako umepakiwa tayari.