MAKER LAND ROVERΒ
MODELΒ Β Β DISCOVER 3
YEARΒ Β Β 2005
FUELΒ Β Β DESELΒ
MILAEGE 179,000
START PRICE 500,000 JPY
BID INCREMENTΒ Β 50,000 JPY
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
CURRENT PRICE 600,000 Β JPY
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
CURRENT PRICE 650,000 Β JPY
Hili Garama za usafiri pamoja na ushuru ziko?
Hivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?
ΒHivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?
Mimi msindikizaji sielewi chocho?
Β
Hivi mkuu unawe kufanya notifications zikatufikia kwanjia ya msg badala ya email naona njia ya email nachelewa kupata ujumbe.Β
Wazo langu liko hivi kwanini msituwekee kifurushi cha mkopa tukapata Magari kwanjia ya mkopo?
Kuna jamaa yangu nimemtu hili Gari kalipenda lakini kasema hataki mambo ya minada anataka jua gharama zake zikoje iliajue kama anaweza kununu.
CURRENT PRICE 700,000 Β JPY
CURRENT PRICE 750,000 Β JPY
Tuwekee na Magari mado ya bei rahisi makali kama hili.
Kwanza niwapongeza kwakuteletea minda ya vitu mbalimbali mtandao ni jambo jema sana kiukweli,pili naomba uweke taarifa zote nfano ghama za usafiri pamoja na ushuru hata kwa kukadilia kwamba linaweza cost bei fula hadi kunifikia,asante sana nafatilia kwaukaribu sana minada yenu.
@dickson-asanga Gharama za usafiri ni $1,500 kutoka Nagaoya hadi Dar.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Uweza kulipia Gari au kitu chochote kilichopo kwenye mnada kama kuna bei ya kulipia, kwa mnda huu hakuna njia hivyo zaidi ya kushinda.Hivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Tayari nimekuunga na huduma hiyo utapa notification kwanji ya msg pia.Hivi mkuu unawe kufanya notifications zikatufikia kwanjia ya msg badala ya email naona njia ya email nachelewa kupata ujumbe.Β
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Sawa fatilia minada kila siku tutayaweka pia.Tuwekee na Magari mado ya bei rahisi makali kama hili.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Asante kwa ushauri mzuri tunalifanyia kazi?Kwanza niwapongeza kwakuteletea minda ya vitu mbalimbali mtandao ni jambo jema sana kiukweli,pili naomba uweke taarifa zote nfano ghama za usafiri pamoja na ushuru hata kwa kukadilia kwamba linaweza cost bei fula hadi kunifikia,asante sana nafatilia kwaukaribu sana minada yenu.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
CURRENT PRICE 800,000 Β JPY
CURRENT PRICE 850,000 Β JPY
900,000 JPY
1,00,000 JPY
1,100,000Β
Leo natangaza mshinda wa Land Rover Discovery 3 ya mwaka 2005 ni mr @Majid naomba ulipia kiasi cha 1,100,000 Yen sawa na pesa za hapo nyumbani 18,800,000 Grama za manunuzi na usafiri.
Β
Baada ya malipo kukamilika utalipa ghrama za ushuru pamoja na bandari. lipia gari lako kabla ya maasa 24 kupita kisha nijulishe.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Sawa.
Kalipia au bodo tulipie?
Hili Gari limeishalipiwa tayari.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Hii ndiga nani kachukua?