Notifications
Clear all

LAND ROVER DISCOVERY 3 4WD

31 Posts
17 Users
0 Reactions
981 Views
0
Topic starter

COVER4
COVER
COVER2
COVER3
COVER5
COVER6
COVER7
COVER4

MAKER LAND ROVER 

MODEL     DISCOVER 3

YEAR      2005

FUEL     DESEL 

MILAEGE 179,000

START PRICE 500,000 JPY

BID INCREMENT   50,000 JPY

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

22 Answers
0
Topic starter

CURRENT PRICE 600,000  JPY

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

CURRENT PRICE 650,000  JPY

0

Hili Garama za usafiri pamoja na ushuru ziko?

Jonson John Jonson John Topic starter March 22, 2024 9:40 am

@dickson-asanga Gharama za usafiri ni $1,500 kutoka Nagaoya hadi Dar.

0

Hivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?

Lilian Katabaro Lilian Katabaro March 22, 2024 8:44 am

Posted by: @josephe-chacha

Hivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?

Mimi msindikizaji sielewi chocho?

Victor Mtungamo Victor Mtungamo March 22, 2024 8:48 am

@lilian-katabaro 

Njoo unisindikize hata mimi huku.

Grace Ngalawa Grace Ngalawa March 22, 2024 9:14 am

@lilian-katabaro 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Jonson John Jonson John Topic starter March 22, 2024 9:43 am

Posted by: @josephe-chacha

Hivi nikitaka kulipa hili Gari natoa bei gani?

Uweza kulipia Gari au kitu chochote kilichopo kwenye mnada kama kuna bei ya kulipia, kwa mnda huu hakuna njia hivyo zaidi ya kushinda.

0

Hivi mkuu unawe kufanya notifications zikatufikia kwanjia ya msg badala ya email naona njia ya email nachelewa kupata ujumbe. 

Jenifa Jenifa March 22, 2024 9:18 am

@victor-mtungamo Mimi napa msg yakawaida na email pia.

Jonson John Jonson John Topic starter March 22, 2024 9:46 am

Posted by: @victor-mtungamo

Hivi mkuu unawe kufanya notifications zikatufikia kwanjia ya msg badala ya email naona njia ya email nachelewa kupata ujumbe. 

Tayari nimekuunga na huduma hiyo utapa notification kwanji ya msg pia.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

Wazo langu liko hivi kwanini msituwekee kifurushi cha mkopa tukapata Magari kwanjia ya mkopo?

0

Kuna jamaa yangu nimemtu hili Gari kalipenda lakini kasema hataki mambo ya minada anataka jua gharama zake zikoje iliajue kama anaweza kununu.

0

CURRENT PRICE 700,000  JPY

0

CURRENT PRICE 750,000  JPY

0

Tuwekee na Magari mado ya bei rahisi makali kama hili.

Jonson John Jonson John Topic starter March 22, 2024 9:49 am

Posted by: @allan-jackson

Tuwekee na Magari mado ya bei rahisi makali kama hili.

Sawa fatilia minada kila siku tutayaweka pia.

0

Kwanza niwapongeza kwakuteletea minda ya vitu mbalimbali mtandao ni jambo jema sana kiukweli,pili naomba uweke taarifa zote nfano ghama za usafiri pamoja na ushuru hata kwa kukadilia kwamba linaweza cost bei fula hadi kunifikia,asante sana nafatilia kwaukaribu sana minada yenu.

Jonson John Jonson John Topic starter March 22, 2024 9:50 am

Posted by: @kashangaki

Kwanza niwapongeza kwakuteletea minda ya vitu mbalimbali mtandao ni jambo jema sana kiukweli,pili naomba uweke taarifa zote nfano ghama za usafiri pamoja na ushuru hata kwa kukadilia kwamba linaweza cost bei fula hadi kunifikia,asante sana nafatilia kwaukaribu sana minada yenu.

Asante kwa ushauri mzuri tunalifanyia kazi?

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

CURRENT PRICE 800,000  JPY

0

CURRENT PRICE 850,000  JPY

0

900,000 JPY

0

1,00,000 JPY

0

1,100,000 

0
Topic starter

Leo natangaza mshinda wa Land Rover Discovery 3 ya mwaka 2005 ni mr @Majid naomba ulipia kiasi cha 1,100,000 Yen sawa na pesa za hapo nyumbani 18,800,000 Grama za manunuzi na usafiri.

Baada ya malipo kukamilika utalipa ghrama za ushuru pamoja na bandari. lipia gari lako kabla ya maasa 24 kupita kisha nijulishe.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

1.Jina la bank CRDB 

2.Acount Namba :AC  015C598771300. 

3.Jina la Account Digxam Trades

4.Mshindi ni @majid 

Fanya malipo kabla ya masaa 24 baada ya mnada kuisha.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

0

Sawa.

0

Kalipia au bodo tulipie?

0
Topic starter

Hili Gari limeishalipiwa tayari.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Hii ndiga nani kachukua?

Digxam

FREE
VIEW