Nataka kufunga kiduka changu cha spare za Magari pale ilala vipi nitaweza kupata fuel pump za magari mbalimbali ya petrol?
@father-house Pump zipo naomba muda nitazitafuta nitakupa bei.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Nataka nifungue goli la Milango ya Magari Shinyanga mjini,
Hivi Subaru nitapa bonnet imepata ajali.
@karanga Milango niambie milango ya Magari gani unata.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
@karanga Aina gani ya Subaru?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Kuna subaru model nyingi tuma picha niione.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Gari lango nimekufa Engine ni Toyota IST nitapa Engine ya Gari langu?

Nitapata body ya Prado Tx box nashida bodi compote pamoja na viti vyake na Dashboard yake,niko Arusha.
Hivi mbona sio hata private MSG kwenye hii website
Engine ya Hino Horse mnaweza kuipata mode za mwanzo kabisa iko kama ya Isuzu V8 au zinaingiliana.
Habari
naweza kupata Tank la mafuta la Fuso super Greater la aluminum?
Naomba kujua kama kuna engine nyuma ya Fuso Bus.
@anamaria Utapata, ngoja tuangalia
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Control box Harrier
@zaituni Lazimia niione Madam.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Naomba kujua kama kuna engine nyuma ya Fuso Bus.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Ipo kwa watu ambao wamelipia huduma.Hivi mbona sio hata private MSG kwenye hii website
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Nataka nifungue goli la Milango ya Magari Shinyanga mjini,
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Engine ya Verosa bei gani?