kaka kuna mtu mwenye hili Gari naomba tuwasilie haraka sana natafutata SUBARU FORESTER.
Year model 2008 kwendeleaÂ
Engine Cc isizidi 1990
Low mileage isizidi 100k
Tyre angalao zisiwe zimechoka sanaa Â
Â
Mawasiliana Piga au wahtspp xxxxxxxxxx.
Ipo mkuu inatakiwa 18ml