Notifications
Clear all

HUDUMA KWA WATEJA WANAOSHIRIKI MINADA YOTE.

21 Posts
18 Users
0 Reactions
297 Views
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

HII HUDUMA NI KWAJILI YA MAKUNDI MAWILI TU.

  • Paid Membership 50,000 Package.
  • Trusted Membership 100,000  Package.

 

Trusted Membership 100,000  Package.

(✔️)Nikifurushi cha mwaka ghrama yake ni elfu 00,000  tu,kitakuwezasha kupa huduma zifutazo.

(✔️))Uweza kuona  namba za simu kwenye posts mbalimbali.

(✔️))Utaweza kuingia na kuona kuona minada kwenye platform ya Buy and Sell. General Product from Japan.

(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la South Africa Import Export Online Trade.

(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la Tanzania Import Export Online Trade.

(✔️))taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Tanzania.  

(✔️))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada  kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions  Tanzania .

(✔️))Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia  yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 3ml.

(✔️)taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions South Africa. 

(✔️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada  kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions  South Africa.

(✔️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia  yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 10 ml.

(✔️) Threads and Posts Automatically Approving

(✔️)))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na kuweka minada  kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Japan. 

(✔️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada  kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions  Japan. 

(✔️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia  yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 50ml.

(✔️)) kusoma Threads za private.

 

Jinsi yaku upgrade.

kutoka kwenye kifurushi kimoja na kuhama  kwenda kwenye kirushi kingine Nirahisi kufanya hivyo, utalipia kiasi kulingana na bei ya kifurushi,kiasi cha pesa chakwa kitajumlishwa kwenye gharama ya kufurushi kipya kulingana na bei.

 

Jinsi ya kulipia 

Tigo Lipa namba 6866794 Digxam Trades

Bank CRDB  AC  015C598771300

 

kama unahitaji huma hii wasiliana na admin kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245 

Ilituweze kupata huduma bora tujiunge na huduma hizi,Nawakaribisha wote,kama unaswali uliza.

 

 
Posted : March 7, 2024 3:43 pm
(@karama)
Posts: 11
DIG-PESA
 

Nomekusoma boss admin 

 
Posted : March 12, 2024 6:51 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

@karama  Asante karibu sana.

 
Posted : March 12, 2024 10:09 pm
(@rukia)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Kuna kufurushi cha Service Provider kinapatikanaje?

kama nitakununua niweza kufanya nini nani hapa kwenye platform mzima.

 
Posted : March 20, 2024 12:27 pm
Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 27
Balance 0.000
 

Habari 

 

nililipa kifurushi nashangaa hadi leo sijaunganishwa.

 
Posted : March 20, 2024 12:31 pm

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

Zulu
(@zulu)
Posts: 27
Balance 0.000
 

Kunabaadhi ya vitu Nilitaka kununua nikashindwa sijui unanisaidiaje.

 
Posted : March 20, 2024 12:32 pm
Anamaria
(@anamaria)
Posts: 12
Deposit 200,000
 

Nfano nikilipa hili kifurushi cha 30 inapata access zipi na kitadumu kwa muda gani? 

 
Posted : March 20, 2024 12:42 pm
(@jafet)
Posts: 25
Karibu! Car Dealers
 

Naomba ninganishwe kwamuda nfupi nione kinavyofanya kazi.

 

Natamani nijiunge na kifurushi kimoja wapo hapo.

 
Posted : March 20, 2024 12:46 pm
(@siawa)
Posts: 17
Deposit 50,000
 

Kwanini mtuuzi hizi vifurushi hii huduma inatakiwa iwe bure hii pesa mnaipeleka wapi?

 
Posted : March 20, 2024 12:50 pm
(@manosa)
Posts: 6
Deposit 50,000
 

Kila kukicha mnawaza kulimit access nfano nata kununua vitu mnadani siwezi!

 
Posted : March 20, 2024 12:56 pm

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 11
Balance 0.000
 

Nikitaka kulipa kifurushi cha kushiriki minada yote nafanyaje au chagua kifurushi gani?

Nikitaka kujitoa inawezekana?

 
Posted : March 20, 2024 12:59 pm
(@father-house)
Posts: 21
Balance 0.000
 

Hivi nikilipa 30,000 nitapata kufanya nini na nini hapa?

 
Posted : March 20, 2024 1:03 pm
 Abuu
(@abuu)
Posts: 9
Service Provider
 

Nomba maelekezo jinsi ya kulipia nipate hicho kifurushi cha mwaka.

 
Posted : March 20, 2024 1:05 pm
(@jack-lee)
Posts: 7
DIG-PESA
 

Pesa nyingi sana hii, kama 5,000 nalipa chap kwa haraka.

 
Posted : March 20, 2024 1:08 pm
(@barbershop)
Posts: 15
Balance 0.000
 

Hizi bei za minda ziko juu sana fanya kupunguza kudogo tulipie jamani.

 
Posted : March 20, 2024 1:11 pm

Rangi za Magari
(@rangi-za-magari)
Posts: 19
Service Provider
 

Mbona nikitaka kubid minda sio pakuandika shinda nini?

 
Posted : March 20, 2024 1:21 pm
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
 

Kila nikitaka kubid siwezi pafungwa naomba unifungulie

 
Posted : March 20, 2024 1:23 pm
(@kabandwa)
Posts: 37
Balance 0.000
 

Mbona wenye Rangi tofauti wana bid kwani bei gani kubid wa kuu.

 
Posted : March 20, 2024 1:24 pm
(@mtangazaji)
Posts: 6
Deposit 50,000
 

Hapa ukisoma comments wabongo wanapenda vitu vya bure sana 🤣🤣🤣🤣🤣💪

 
Posted : March 20, 2024 1:28 pm
(@jitumirabaminne)
Posts: 8
Service Provider
 

Wale ambao tayari wamejiunga namba msaada ninunulie kitu humo nakutumia hela yako kama mtana uta✅

 
Posted : March 20, 2024 1:32 pm

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Malever
(@malever)
Posts: 14
Deposit 50,000
 

Kwanini hicho kiasi ambacho tunatanguliza nikinunua bidhaa niongeze hela kidogo tumaliza?@admin 

 
Posted : March 20, 2024 1:39 pm


Digxam

FREE
VIEW