Narafuta pikipiki moja hivi ya honda kwajili ya biashra za bodaboda yenye kufanana na Boxer au TVS bajet yake isizi 1m naomba picha nitakuambia kama inafaa au laa.
Honda click bei gani?
Nitapata Honda XR MD 30 bei zikoje?
@jafet Ngoja naifatilia nikupa bei.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@manosa Zipo nitakupa bei kesho.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jafet Naitafuta nakupa bei
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Naweza kupata pikipiki ya kuvuta mafuta nakuonda sio na mambo mengi?
@zaituni Ikoje unaweza kutumia picha yake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Picha sina lakini zipo nyingi barabarani.

kama hii?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Bei gani?
Kilakitu pamoja na usafiri hadi hapa Shinyanga?
@zaituni 7ml.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Mbona bei kubwa naomba unitafutie kidogodgo baajeti yangu ni 1.5 ml.
Duh
Sawa nikipata nitakuwekea picha yake hapa,nikichelewa naomba unikumbushe ndani ya week hii.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Sawa nitakukumbusha.
Poa!
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Au nataka kama hiki? https://digxam.site/community/daily-auctions-south-africa/suzuki-sky-wave/#post-1022
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kama hiki bei gani?Au nataka kama hiki? https://digxam.site/community/daily-auctions-south-africa/suzuki-sky-wave/#post-1022
Ulizia hapo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
KTM moja kali sana naomba picha na bei
@jafet 7ml
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@zaituni Sawa.