Notifications
Clear all

Used Japan TUAMBIA SPARE GANI YA GARI TUKUTAFUTIE.

22 Posts
10 Users
0 Reactions
299 Views
0
Topic starter

 

Hiini thread ya spare tu, utapata aina zote  za spare za Magari, fanya hivi taja.

  • Tuambie aina ya Gari lako,
  • kama unapicha ya spare  unayoitafuta weka hapa.
  • Piga picha ya kibati kiko mbele kwenye Bonnet tuma.  

    20221215 133137
    20221215 131326
    64906EC3 615C 48AD 80F8 CA3DD8DA9124

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

0

Nataka kufunga kiduka changu cha spare za Magari pale ilala vipi nitaweza kupata fuel pump za magari mbalimbali ya petrol?

Jonson John Jonson John March 18, 2024 3:28 pm

@father-house Pump zipo naomba muda nitazitafuta nitakupa bei.

0

Nataka nifungue goli la Milango ya Magari Shinyanga mjini,

Jonson John Jonson John March 18, 2024 3:50 pm

@karanga Milango  niambie milango ya Magari gani unata.

Jonson John Jonson John March 19, 2024 1:37 pm

Posted by: @karanga

Nataka nifungue goli la Milango ya Magari Shinyanga mjini,

 

0

Hivi Subaru nitapa bonnet imepata ajali.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 6:14 pm

@karanga Aina gani ya Subaru?

0

Kuna subaru model nyingi tuma picha niione.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Gari lango nimekufa Engine ni Toyota IST nitapa Engine ya Gari langu?

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Gari lango nimekufa Engine ni Toyota IST nitapa Engine ya Gari langu?

0

Nitapata body ya Prado Tx box nashida bodi compote pamoja na viti vyake na Dashboard yake,niko Arusha.

0

Hivi mbona sio hata private MSG kwenye hii website 

Jonson John Jonson John March 19, 2024 1:32 pm

Posted by: @manosa

Hivi mbona sio hata private MSG kwenye hii website 

Ipo kwa watu ambao wamelipia huduma.

 

0

Engine ya Hino Horse mnaweza kuipata mode za mwanzo kabisa iko kama ya Isuzu V8 au zinaingiliana.

0

Habari 

 

naweza kupata Tank la mafuta la Fuso super Greater la aluminum?  

0

Naomba kujua kama kuna engine nyuma ya Fuso Bus.

Jonson John Jonson John March 19, 2024 6:46 am

@anamaria Utapata, ngoja tuangalia

Jonson John Jonson John March 19, 2024 1:30 pm
20230104 103955

Posted by: @anamaria

Naomba kujua kama kuna engine nyuma ya Fuso Bus.

 

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0

Control box Harrier 

Jonson John Jonson John March 19, 2024 1:25 pm

@zaituni Lazimia niione Madam.

0

Engine ya Verosa bei gani?

 


Digxam

FREE
VIEW