Notifications
Clear all

Tanadale Used Parts Niko Tandale tunakata magari niulize Spare yoyote.

9 Posts
4 Users
0 Reactions
292 Views
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 

Tuko hapa Tandale tunakata magari,kama unahitaji spare yoyote niulize nitakujibu.

 
Posted : February 9, 2024 6:27 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 247
 

Pamoja sana mkuu.

 
Posted : February 14, 2024 6:55 am
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 

Cool!

 
Posted : February 14, 2024 9:10 am
(@guguleth)
Posts: 11
Deposit 200,000
 

i see 

 
Posted : March 13, 2024 10:11 am
(@majalago)
Posts: 1
Balance 0.000
 

Nahitaji center lock ya mlango wa nyuma wa noah road tourer

 
Posted : March 15, 2024 8:27 am

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 
image

Karibu boss wangu Gari lako kama hili?

 
Posted : March 15, 2024 8:43 am
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 

@majalago Unataka ya mlango wa nyumba yaani boot sio hii yaku slide?

 
Posted : March 15, 2024 8:58 am
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 

@majalago  kwenye Gari hili kuna moja ya nyaya yenye njia mbili na njia nne hii ni mihimi sana lazima nijue ya njia ngapi kama unaweza ipige picha nitumir tusije kupishana.

 
Posted : March 15, 2024 6:06 pm
Justin Omundi
(@justin-omundi)
Posts: 22
DIG-PESA
Topic starter
 
IMG 20240316 WA0001
IMG 20240316 WA0000
 
Posted : March 16, 2024 1:07 pm


Digxam

FREE
VIEW