Mwenye body ya Prado tuwasiliane haraka sana.
Prado Tx hipi mkuu ungweka hata code yake maana hizi gari ninyingi sana uwezi sema TX ikatosha kupata spare yake.
Ngoja nimcheki fundi body nitakurudia.