Nahitaji Jinzi tatu za size 34 ambaozi sio za kubana chini wala ziwe bwanga,jinzi moja liwe blue moja jeusi lini nichagulie rangi mwenyewe,
Sawa Nakuwekea mzigo wako
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿