Nimepigwa tukio la simu kwenye mazingira ya kutishiwa na mapanga asubuhi mikiwa naelekea kwenye mishizangu mitaa ya ununio.
Simu imechukuliwa na pesa zimechukulia nimechoka hata sijui chakufanya.Kama umewai iniwa kwenye mazingira yoyote comment chini