https://vt.tiktok.com/ZS4uWakwr/
Hii kazi yake nini?
Hii kwajili ya kwajili ya mfumo wa kuchaji betri kwenye Engine mbalimbali ikimo ya Gari
Mambo ya ufundi
Mzigo bado upo kama kuna mtu anataka ingia dm nitumie namba yako nikupigie.