Habar , bilashaka natumai mu wazima wa afya tele.....!
Bila kupoteza tym naomba niende moja kwa moja kwenye point yangu, nimekuwa nikitaman kwa muda kuvaa saa ya smart ila nashindwa kufanya ivyo kutokana na ushamba wangu wa kutofaham ni saa gan naweza kuvaa kwa bajet yangu ya 80 elf...
Sasa basi kwa faida na ya watu wengine ni saa gan smart naweza kupata kwa bajet ya 80 elf? Natumai nitapata majibu ya kutosha umu jukwaan kwan hapa ndio mtandao pekee wanye masuluhisho ya changamoto zetu........!!
Aksanten nawasilisha
Fanya 100k nikupe saa moja kali sanaย
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
Nionyeshe kwanza niione.
Serious?ย
Serious Sister,we lipia kesho niitie kwenye mzigo.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
@jonson-john Ukinidanganya nitawaalibia kila sehemu hutoamini,poa nalipa naomba Lipa namba.
Nikudanganye kivipi?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
usije kunibadilishia saa ukanitumia saa tofauti na hii itakuwa vita hapa.
Hapana hatufanyi hizo biashara dada yangu,ukipata saa yako usikae kimya njoo hapa utoe ushuhuda.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
Lipa Nambaย 6866794. ndio hii?
Exactlyย
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
Tayari.
Asante nitaituma nitakujulisha mzigo ukifika asante sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darโ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.โ โ ๐๐ช๐๐ฟ
Poa.
Asante nipata.