Habari ndugu mteja,
Kuanzia tarehe 01/04/2024 watumiaji wote wa ( Free Subscriber ) wakuuza na kununua kwanjia ya minada kwenye majukwaa yote ya minada .Kuondoa usumbufu lipia kifurushi chako mapema kabala ya tarehe tajwa hapo juu.
1.Ina za vifurushi
1. Uweza wa kifurushi cha Free Subscriber na mipaka yake.
(A) Je uweza kuingia kwenye majukwaa ya kuuza na kununua kutangaza kwanjia zisizo za minada.
(B) Je utaweza kuuza au kununua kwenye majukwaa ya kuuza na kunua kwanjia ya minada?.
(3)Je utweza kuuza au kununua kwanjia minada bidhaa zenye thamani zaidi ya.
2.Basic Membership .
(A)Uweza kuingia kwenye majukwaa ya kuuza na kununua kutangaza kwanjia zisizo za minada.
(B)Utaweza kuuza au kununua kwenye majukwaa ya kuuza na kunua kwanjia ya minada.
(C)Utweza kuuza au kununua kwanjia minada bidhaa zenye thamani zaidi ya.
3.Paid Membership 50,000 Package.
(A)Uweza kuingia kwenye majukwaa ya kuuza na kununua kutangaza kwanjia zisizo za minada.
(B)Utaweza kuuza au kununua kwenye majukwaa ya kuuza na kunua kwanjia ya minada.
(C)Utweza kuuza au kununua kwanjia minada bidhaa zenye thamani zaidi ya.
4.Trusted Membership .
(A)Uweza kuingia kwenye majukwaa ya kuuza na kununua kutangaza kwanjia zisizo za minada.
(B)Utaweza kuuza au kununua kwenye majukwaa ya kuuza na kunua kwanjia ya minada.
(C)Utweza kuuza au kununua kwanjia minada bidhaa zenye thamani zaidi ya.
5.Ghrama zake zikoje .
6.Kazi yake nini
(A)Free Subscriber ni bure,hiki kifurushi ni kwajili ya kukuwezesha kupata huduma bure nfano kuuliza bidhaa kununua hata kuuza bila njia ya mnada kupita kwenye majukwaa haya.
(B)Basic Membership ni kifurushi kinachokuwezesha kupata huduma za kuuza na kununua kwanjia ya minada na zisizo za minada kupitia kwenye majukwa haya,
(C) Paid Membership Nikifurushi kinachokuweze kuuza na kununua kwanjia za minda kupitia kwenye Majukwaa haya.
(D)Trusted Membership Nikifurushi kinachokuweze kuuza na kununua kwanjia za minda kupitia kwenye Majukwaa haya.
7.Faida zake ni zipi.(A)Unapolipia kifurushi chako kazi yake kubwa ni dhamana kwenye kununua na kuuza bidhaa zako kwanjia ya mtanda.
(B)Ukinunua bidhaa kwanjia ya mnada muuzaji na mnunuzi wote wanakuwa na imani kwamba wamefanya biashara japokua mnunuzi anakuwa bado ajalipia bidhaa zake.
(C)Nfano minada ikiendeshwa bila kuwa na vifurushi watu wanaweza kushindana kwa bei kube baadhi ya watu wanafanya mchezo na wengene wakijua wanashinda mwisho wa manda wakanza anakipmbia wapili uwezi kumuambia umeshinda mnada wakaiti kuna baadhi ya wanunuzi wanafanya mchezo.
8.Asara zake ni zipi
(A)Ukishanda mnada ukashindwa kulipia bidhaa zako utapigwa faini ya kunyanganywa hicho kifurushi na kubaki kama mshiraki waka waida utaweza kuona minada bila kushiriki.
(B)Utaweza kuuza na kununua kupitia kwenye haya majuwakwaa.
(C)Ukifanya makosa kama ya kupamba matoke ya minada nfano kushawishi watu wasi Bid ili yeye ashinde bila kushinda utapeteza kifurushi chako lakini pia utapigwa ban utashindwa kushiri kwenye majukwaa yote kwa muda ambao admin ataona kulinga na ukubwa wako baada ya kujiaeleza kusikilizwa.
(D)Virushi vote vinaweza kupanda bei bila taarifa ya muda muda mrefu kwa wateja wapya.
(C)Baadhi ya majukwaa ya kuuza na kunua yasiyo ya minada yanaweza kuhitaji uwe na kifurushi ili kupa huduma ambazo kwa sasa ni zabure.
(E)Nunua kifurushi chako cha mwaka kuonda usumbufu unaweza kujitokeza.
9.Jinsi yaku upgrade.
kutoka kwenye kifurushi kimoja na kuhama kwenda kwenye kirushi kingine Nirahisi kufanya hivyo, utalipia kiasi kulingana na bei ya kifurushi,kiasi cha pesa chakwa kitajumlishwa kwenye gharama ya kufurushi kipya kulingana na bei.
10.Jinsi ya kulipia
Tigo Lipa namba 6866794 Digxam Trades
Bank CRDB AC 015C598771300
kama unahitaji huma hii wasiliana na admin kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245
Ilituweze kupata huduma bora tujiunge na huduma hizi,Nawakaribisha wote,kama unaswali uliza.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Hapa tutataendelea kutumia bure sio?
Buy and Sell. General Product from Japan.
Wewe wakishua uko salama hii mvua imenyesha huku kwa wagumu wanywa uji kwa chumvi wa zee wa manzese mbalaga rangi 10 kwa mtogole Mwana nyamza magomeni mapipa sio huko kwenu block 41.Hapa tutataendelea kutumia bure sio?
Buy and Sell. General Product from Japan.
- South Africa Import Export Online Trade.
- Tanzania Import Export Online Trade.
Tuongezee muda kido hadi mwezi 10 tujichange mkuu siombaya anyway.
Wewe na nana ebu tuondolee huu upuuzi.Tuongezee muda kido hadi mwezi 10 tujichange mkuu siombaya anyway.
Mbona umetuchoka mapema hii?
chef umezingua tuache kidogo bhana.
Niko tayari kulipa lakini sio 30k boss parefu sana.@ ndalama
Nfano mimi paid Member natakiwa kulipa tena kwajili ya hudua ya kuuza na kununua kwenye hii minda ya kwenye jukwaa la Community?
asante kwa taarifa 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨 🤨
Kutokuona kabisa minda bei gani boss?
Ngoje kwanza mpate watu wengi kwanza mbona mwataka kutuvunjia kakijiwe ketu?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mimi napita tu kwema lakini?
Ebu tuseme ukweli tuache mizaha na uzushi hivi kweli kama wewe ni mtu uko serious unashinda ya kununua na kuza kwanjia ya minada unaweza kukubaliana na mizaha ilikokwenye hili jukwaa?
Juzi nili bid simu 170k watu wakatoka huko walikotoka na kuvamia hile simu mbumbe lengo lao waaribu tu mnada ulitembea hadi 300k baada ya mnada kufungwa kaambia mshindi alipie hadi leo kimya ebu niambia kama sio utoto ni nini?
Natamani isiwe 30k iwe 100k ili kuwe na hadabu hapa jukwaani sisi sio wototo wa chekechea hapa jambo la pili kuna majukwaa mengi tofauti na minada yote ni bure kama huna pesa ya kulipia basi huko kwenye majukwaa mengine lakini sio kupeleka mizaha kwenye minada. naunga mkono hoja fungia watu wote wasio na deposit hata leo wengine waendelee na kazi.
Kanuni zake mwenyewe zinasema mtu akishindwa kulipa baada ya kushinda minada yake basi apigwe bani asishiriki minda wapi kaandika kwamba mtu akishindwa kulipa moja nawawekea tozo wote?
Hii kakurupa Moderator arudi ajipange upya.
Nili coment bila kusoma content nimengundua ni ujinga mtu.Kanuni zake mwenyewe zinasema mtu akishindwa kulipa baada ya kushinda minada yake basi apigwe bani asishiriki minda wapi kaandika kwamba mtu akishindwa kulipa moja nawawekea tozo wote?
Hii kakurupa Moderator arudi ajipange upya.
Hivi kwanini majukwaa mengina kama Online Daily Auctions -Japan na Daily Online Joint Auctions hakuna huu ujinga? hivi watu mnaweza kukute huu ujinga uendele badala ya kufanya mabadiliko hata lili jukwaa la Daily Online Community Auctions likaenda na majukwa mengine watu wanapinga kweli
hapa sio sehemu ya kubetu hata huko kwenye beti mnabetu bure acha uzushi bhana @ admin hii 30 ni ndogo napendekeza 150k hata akibaki mtu moja sawa kuliko huu ujinga unaendelea hapa kwenye jukwaa hili la Daily Online Community Auctions.
We nae unauma na kupuliza tushike lipi?Hivi kwanini majukwaa mengina kama Online Daily Auctions -Japan na Daily Online Joint Auctions hakuna huu ujinga? hivi watu mnaweza kukute huu ujinga uendele badala ya kufanya mabadiliko hata lili jukwaa la Daily Online Community Auctions likaenda na majukwa mengine watu wanapinga kweli
hapa sio sehemu ya kubetu hata huko kwenye beti mnabetu bure acha uzushi bhana @ admin hii 30 ni ndogo napendekeza 150k hata akibaki mtu moja sawa kuliko huu ujinga unaendelea hapa kwenye jukwaa hili la Daily Online Community Auctions.
Maoni yangu ili upate huduma mzuri inabidi kuchangia nadhani wabongo siwe wabishi kila kitu bahati mzuri kila moja hapa ni shahidi wa kinachoendelea kwenye hili jukwaa la Daily Online Community Auctions. mimi nadhani tuwaache tusiwapangia chakufanya shughuli ni watu na watu ni sisi basi tusipishane tupeane muda,
duh napita