Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hii nashida nayo chukua 1ml mkuu kilakitu.
@kalagutuka Karibu sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Hivi hizi click zinauza bongo zimetengenezwa wapi mkuu?
Hii pikipiki naitaka bei itakpoishia lakini isizidi 2ml kilakitu pamoja na usajili bei itakopoishia nicheki.
Hii inanifaa jamani
Napenda hii ndunde japo siko vizuri kwasasa
Hii badoipo?