Tatizo ni nini
Sababu ziko nyingi pia pia utofautiana kulingana na aina ya Engine.
Kwani Engine ya Gari lako ni Diesel au Petrol?
Petrol
Ukiweza washa Gari kisha record Video kisha post hapa kisha weka na Video ya Engine tuone aina ya Engine
Okay
Wakati mwingine Engine za Petrol utoa moshi kwamatizo madogo kama hili haoa
https://vt.tiktok.com/ZSVBc3S68/
@tokyo-used-parts Moshi nika hivi, lakwangu ni Toyota Alfard nyeupe.