Hii ni ofa maalumu kwa wateja wetu,kama umejisajili tuambie kitu gani unahitaji kutpa hapa Japan utalipia gharama za usafiri na ushuru.
Tunapokea malipo kwa njia zifuatazo:
Tigo Lipa inapokea mitandao yote
Jisajili leo utuambie mahitaji yako kabla ya ofa kuisha.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nashida na Camera moja ya shoting kali sana nipata kwa bei gani?
@neema Naomba unitumie
nikupe gharama za usafiri,
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
iPhone X naomba bei
@faraja uko nchi gani?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Malawi
@faraja Malawi sio Africa Mashari
Guys please kwa serious.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Nashida na Simu mkuu.
@jonson-john Camera profession kwajili ya production
@neema Hii site ingekuwa Kenye mngekuwa mbali sana.
@faraja Nchi gani umeulizwa?
@faraja Malawi tena.
Hii huduma kenya vipi unaweza kutuunganisha?