Nashida na bump la Toyota Fortuner na taa zake naomba bei.
Kivipi sijaelewa hiyo trusted member kitugani?
Trusted membership au Paid Membeship ni vivurushi vya mwaka ukilipia utaweza kupata huduma mbambali kupitia kwenye hii Platform.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Kwani ni bei gani kwa mwaka?
Na Kama sina inakuwaje?
Kama huna hicho kiasi sio kesi ikitokea kuna mtu anayo hiyi spare au bidhaa utawasiliana naye na sisi tutakusaidia kufanya malipo na kuchukua mzigo kwa mteja na kuuleta kwako ulipo.
Ukilipia hii membership tunakutafutia wenyewe utapata mzigo wako ndani ya myda nfupi kwa bei mzuri za ushindani.
Gharama ni kuanzia elfu 50,000 hadi milioni moja utapata kifurushi kinachokufaa.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Hii naweza kuipata bossi wangu.
Naomba bei na picha
Hapana mimi sina hii kitu yakutafuta inabidi uniwezeshe Rand 500 tu niingie mtaani nikakutafutia hii spare yako.
Pesa nyingi sana I see dah.
Unabei gani?
Wewe tafuta Kisha nitumie bei na picha kwani shida ikowapi?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hakuna mteja hapo ni ma story ya town.
50k ukishalipia weka receipt inaweza kuhitajika.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link